Tag: habari kubwa za michezo
Mtoto auawa na kutolewa sehemu za siri
Mwanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Tutuo, wilayani Sokonge , Mkoa wa Tabora, Maria Ngassa(13) ameuawa kikatili wakati akienda kisimani [...]
Lindi washukuru fedha za tozo kwa kuboresha sekta ya Afya
Wakazi wa kata ya Mvuleni, manispaa ya Lindi wameeleza watakavyonufaika na uwepo wa kituo cha afya cha kisasa kilichojengwa kutokana fedha za tozo za [...]
Mpoto afunguka kuhusu ugawaji wa Mirabaha kwa wasanii
Baada ya tukio la Uzinduzi wa Tuzo za Muziki Tanzania 2022 na ugawaji wa pesa za mirabaha zinazotokana na kazi za Wasanii zinazotumika kwenye maeneo m [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Januari 29,2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania Januari 29,2022. Husikubali kupitwa;
https://www.youtube.com/watch?v=9Iu9eovU [...]
Amina : Filamu yakuchangamsha wikiendi yako
Bara la Afrika lina historia ya muda mrefu na mashujaa wengi ambao tumekuwa tukiwasoma shuleni na vyuoni. Lakini mara nyingi tumekuwa tukisoma au kusi [...]
Sokwe dume mzee zaidi duniani, afariki akiwa na umri wa miaka 61 katika Zoo Atlanta
Sokwe dume mzee zaidi duniani anayefahamika kwa jina la Ozzie, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 61 katika hifadhi ya wanyama nchini Atlanta huku [...]
Maafisa 7 mbaroni mauaji ya mfanyabiashara Mtwara
Maafisa saba wa polisi wamefunguliwa mashtaka ya kifo cha Mussa Hamisi Hamisi, mfanyabiashara mwenye umri wa miaka ishirini na mitano aliyepigwa hadi [...]
JICA yatoa vifaa vitakavyoisaidia TRA katika ukusanyaji wa mapato
SHIRIKA la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA) limekabidhi vifaa vya ukaguzi na udhibiti wa bodi kusaidia mpango wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA [...]
Maeneo 7 ambayo yalichunguzwa kubaini chanzo cha moto Soko la Karume
Tume ya uchunguzi wa ajali ya moto uliotokea na kuteketeza Soko la Mchikichini maarufu Soko la Karume, Dar es Salaam jana iliwasilisha taarifa yake kw [...]
Magazeti ya leo Januari 24,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania Jumatatu Januari 24,2022.
[...]

