Tag: habari kubwa za michezo
Magazeti ya leo Januari 22,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania Jumamosi Januari 22, 2022.
[...]
5 Juanas : Safari ya ndugu watano kuutafuta ukweli wa wazazi wao
Filamu hii inawahusu mabinti watano ambao kwa mara ya kwanza wanakutana katika moja ya hoteli iliyopo Cancun mjini Mexico.
Kila mmoja akiwa na dhum [...]
Magazeti ya leo Januari 20,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania Alhamisi Januari 20,2022. [...]
Magazeti ya leo Januari 19,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania Jumatano Januari 19, 2022.
[...]
Ataka kujiua kisa matokeo ya kidato cha nne
Kijana mwenye umri wa miaka 17 kutoka Zanzibar amenusurika kifo baada ya kunywa mafuta ya Taa January 15 mwaka huu baada ya kupata matokeo mabaya ya k [...]
Faida za kiafya za kunywa maji ya vuguvugu
Maji ni uhai. Umuhimu wa maji kwa afya ya mwanadamu hauwezi kusisitizwa kupita kiasi.Maji ya vuguvugu, haisa [...]
Mrithi wa panya Magawa apatikana
Baada ya kifo cha panya Magawa hatimaye mrithi wake amepatikana anafahamika kwa jina la Renin ambapo taarifa zinasema tayari yupo nchini Cambodia kuen [...]
Mwanafunzi afariki baada ya kujirusha ghorofani
Manawa Horera mwanafunzi wa mwaka wa pili wa kitivo cha Shahada ya Uhasibu katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), amefariki baada ya kuanguka kut [...]
Mfahamu John Okello aliyeshiriki Mapinduzi ya Zanzibar
John Gideon Okello ni raia wa Uganda aliyeshiriki katika Mapinduzi yaliyoitoa Zanzibar kutoka kwenye minyororo ya utawala wa Waarabu.
Alizaliwa mw [...]
Pepsi na Coca Cola zaadimika mtaani
Baadhi ya wafanyabiashara jiji Dar es Salaam wamesema kwamba soda zinazotengenezwa na kampuni za Pepsi na Coca Cola zimeadimika kwa muda sasa tangu D [...]

