Tag: habari kubwa za michezo
Chalinze yapokea gari la Zimamoto na Uokoaji
Halmashauri ya Chalinze imepokea gari la Zimamoto na Uokoaji kwa ajili ya kukabiliana na majanga punde yanapatokea wilayani hapo.
Gari hilo, limeto [...]
Balozi wa Marekani: Sio lazima demokrasia zifanane
Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Balozi Michael Battle, amesema kwamba demokrasia haitakiwi kuwa sawa kila mahali, na badala yake inapaswa kuzingat [...]
Hii hapa hukumu kesi ya bandari
Mahakama kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya yabariki mkataba uwekezaji bandari kuwa ni halali imesema malalamiko yaliyowasilishwa hayana mashiko.
& [...]
Serikali yatoa msamaha wa kodi matrekta kutoka nje
Sekta ya kilimo nchini imepata misamaha ya kodi katika eneo la kuagiza matrekta nje ya nchi lengo likiwa ni kusaidia kilimo nchini.
Ofisa kutoka Ma [...]
IMF yaipongeza Tanzania kwa utulivu wa kiuchumi
Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF), Bo Li, ameipongeza Tanzania kuwa na utulivu wa kiuchumi wakati ambao kimataifa mazingira [...]
Rais Samia awaeleza viongozi wa Afrika njia ya kuwasaidia vijana
Rais Samia Suluhu Hassan amesema njia pekee ya kuwa na vijana watakaosaidia kulijenga taifa lenye maendeleo kwa siku za mbeleni ni kuwekeza kwenye mta [...]
Mapendekezo matatu yakuboresha rasilimali watu Afrika
Makamu wa Rais wa Tanzania Dk. Philip Isdor Mpango ametoa mapendekezo matatu yatayosaidia kuimarisha uwezo wa rasilimali watu barani Afrika ikiwemo ta [...]
Rais Samia ampa milioni 2 Mariam kwa kukumbatia watoto njiti
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pongezi kwa Mariam Mwakabungu (25) anayejitolea kukumbatia watoto njiti waliotelekezwa Hospita [...]
Kenya: Shule za fungwa kupisha maandamano
Serikali nchini Kenya imetoa agizo la kufungwa kwa shule zote za msingi na sekondari za mchana jijini Nairobi na Mombasa kabla y [...]
Tanzania na Hungary kuangazia usawa wa kijinsia
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema serikali yake inalitizama kwa jicho la tatu suala la usawa wa kijinsia na kuwainua wanawake katika jamii.
Rais Sam [...]

