Tag: habari kubwa za michezo

1 28 29 30 31 32 123 300 / 1222 POSTS
Magazeti ya leo Januari 30,2023

Magazeti ya leo Januari 30,2023

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Januari 30,2023. [...]
Waliondaki matusi wafutiwa matokeo

Waliondaki matusi wafutiwa matokeo

Baraza la Mitihani (NECTA) limefuta matokeo yote ya Watahiniwa wanne wa kidato cha nne mwaka 2022 walioandika lugha za matusi katika mitihani yao. [...]
Ufaulu kidato cha nne waongezeka kwa 0.49%

Ufaulu kidato cha nne waongezeka kwa 0.49%

Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) leo January 29,2023 limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2022 ambapo Watahiniwa wa Shule 456,97 [...]
Asakwa kwa kumng’ata mama yake masikio

Asakwa kwa kumng’ata mama yake masikio

Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi, linamtafuta Michael Msapi (40), mkazi wa Kirando mkoani Rukwa kwa tuhuma za kumjeruhi kwa kumng’ata masikio yote mawil [...]
Magazeti ya leo Januari 28,2023

Magazeti ya leo Januari 28,2023

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Januari 28,2023. [...]
Walimu waliomcheka mtoto akichapwa wasimamishwa kazi

Walimu waliomcheka mtoto akichapwa wasimamishwa kazi

Katibu Tawala Mkoa wa Kagera, Toba Nguvila amewasimamisha kazi watumishi watano akiwamo Mratibu Elimu Kata ya Kalanja na walimu wanne waliokuwa wanach [...]
Magazeti ya leo Januari 26,2023

Magazeti ya leo Januari 26,2023

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Januari 26,2023. [...]
Zumaridi ahukumiwa mwaka mmoja jela

Zumaridi ahukumiwa mwaka mmoja jela

Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mwanza imemhukumu Diana Bundala maarufu 'Mfalme Zumaridi' kifungo cha mwaka mmoja jela baada ya kumkuta na hatia kati [...]
Hatua zilizochukuliwa dhidi ya wauguzi wa Ishihimilwa

Hatua zilizochukuliwa dhidi ya wauguzi wa Ishihimilwa

Baada ya uchunguzi kufanywa kuhusu tukio la video fupi iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari ikiwahusisha watumishi wawili, Bi. [...]
1 28 29 30 31 32 123 300 / 1222 POSTS
error: Content is protected !!