Tag: habari kubwa za michezo

1 30 31 32 33 34 123 320 / 1222 POSTS
Wahadzabe, Wadatoga wapinga tozo

Wahadzabe, Wadatoga wapinga tozo

Jamii ya Wahadzabe na Wadatoga wanaoishi wilayani Karatu katika Mkoa wa Arusha, wametishia kuyahama makazi yao kwa kuwa halmashauri ya wilaya hiyo ime [...]
Bashe aagiza kukamatwa waliotupa parachichi

Bashe aagiza kukamatwa waliotupa parachichi

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ameagiza kukamatwa kwa mmiliki wa Kampuni ya Candia Fresh pamoja na kuifunga kampuni hiyo, kwa kile alichoeleza kuwa i [...]
Magazeti ya leo Januari 18, 2023

Magazeti ya leo Januari 18, 2023

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Januari 18,2023. [...]
Fahamu kuhusu asali

Fahamu kuhusu asali

Wengi wetu tumezoea asali kwa matumizi ya kula lakini kama ulikua hujui pia ni tiba ya ngozi pamoja na kuzui chunusi. Kutokana na uwezo wa asali ku [...]
Magazeti ya leo Januari 16,2023

Magazeti ya leo Januari 16,2023

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Januari 16,2023. [...]
Dar Group Hospital chini ya usimamizi wa Serikali

Dar Group Hospital chini ya usimamizi wa Serikali

Serikali imechukua usimamizi wa Hospitali ya Dar Group na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametangaza kuwa Hospitali hiyo sasa itasimamiwa na Taasisi ya Mo [...]
Maana ya video ya Simba ya Fei Toto

Maana ya video ya Simba ya Fei Toto

Mchezaji wa Yanga SC , Feisal Salum maarufu kama "Fei Toto" ameweka video ya mnyama simba yenye maneno ya lugha ya kifaransa jambo lililoibua hisia to [...]
CCM Geita yakosoa usambazaji mbolea ya ruzuku

CCM Geita yakosoa usambazaji mbolea ya ruzuku

Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Geita kimeeleza kutoridhishwa na mwenendo wa usambazaji wa mbolea ya ruzuku kwa wakulima kutokana na mchakato huo ku [...]
Magazeti ya leo Januari 13,2023

Magazeti ya leo Januari 13,2023

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Januari 13,2023. [...]
Bwawa la Nyerere lazidi kujaa

Bwawa la Nyerere lazidi kujaa

Ujazo wa maji katika bwawa la kufua ueme la Julius Nyerere (JNHPP) linalotarajiwa kujaa ndani ya miezi 18 hadi jana ulifika mita 108.31 kutoka usawa w [...]
1 30 31 32 33 34 123 320 / 1222 POSTS
error: Content is protected !!