Tag: habari kubwa za michezo

1 76 77 78 79 80 123 780 / 1222 POSTS
Samaki walewa madawa

Samaki walewa madawa

Katika Jimbo la Florida, Marekani, samaki aina ya 'bonefish' wamekutwa wakiwa wamelewa madawa mbalimbali ya binadamu. Kati ya samaki 93 waliopimwa  [...]
Tahadhari juu ya bei ya sukari duniani

Tahadhari juu ya bei ya sukari duniani

Bei ya sukari inatarajiwa kupanda kutokana na vikwazo vya kuuza nje na mataifa kadhaa muhimu yanayozalisha bidhaa zinazotaka kudhibiti kupanda kwa bei [...]
Auawa na mumewe kwa kupigwa risasi za kichwa

Auawa na mumewe kwa kupigwa risasi za kichwa

Mwanamke maarufu jijini Mwanza aitwaye Swalha, aliyekuwa akijishughulisha na masuala ya urembo (make up artist) ameuawa kwa kupigwa na risasi na mumew [...]
Viwango vya kubadili fedha Mei 30, 2022

Viwango vya kubadili fedha Mei 30, 2022

Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania. [...]
Magazeti ya leo Mei 30,2022

Magazeti ya leo Mei 30,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Mei 30,2022. [...]
Watu 31 Wafariki wakigombea chakula

Watu 31 Wafariki wakigombea chakula

Takriban watu 31 wamefariki wakati mkanyagano ulipozuka kusini mwa Nigeria wakati wa hafla ya kutoa misaada ya kanisa ambapo chakula kilikuwa kikigawa [...]
Samia apeleka kicheko Katavi

Samia apeleka kicheko Katavi

Wananchi wa Kijiji na Kata ya Inyonga Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi wameishukuru Serikali kwa kuwasogezea huduma ya maji karibu ambapo [...]
Mjamzito atolewa figo kwa siri

Mjamzito atolewa figo kwa siri

Nchi Uganda, Polisi wanachunguza tukio la madaktari kutoa figo kwa siri ya mjamzito Peragiya Muragijemana (20) mkazi wa Kijiji cha Lwemiggo, wilayani [...]
Viwango vya kubadili fedha Mei 28, 2022

Viwango vya kubadili fedha Mei 28, 2022

Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania. [...]
Nchi za Afrika zenye monkeypox

Nchi za Afrika zenye monkeypox

Morocco na Sudan zinachunguza visa vinavyoshukiwa vya ugonjwa wa monkeypox, imesema taasisi hiyo ya afya barani. Hii inakuja baada ya milipuko ya v [...]
1 76 77 78 79 80 123 780 / 1222 POSTS
error: Content is protected !!