Tag: habari kubwa za michezo

1 7 8 9 10 11 123 90 / 1222 POSTS
Shilingi bilioni 2 za kuwasha majenereta Katavi zaokolewa

Shilingi bilioni 2 za kuwasha majenereta Katavi zaokolewa

Rais Samia Suluhu Hassan ametembela Kituo cha Kupokea na Kupoza Umeme wa Gridi wa Taifa kilichopo Inyonga mkoani Katavi na kisha kuzungumza na wananch [...]
Orodha ya wafanyabiashara waliokidhi vigezo vya kurejeshwa Soko la Kariakoo

Orodha ya wafanyabiashara waliokidhi vigezo vya kurejeshwa Soko la Kariakoo

Shirika la Masoko ya Kariakoo linautangazia umma orodha kamili ya majina ya wafanyabiashara wenye sifa na vigezo vya kurejeshwa sokoni Kariakoo baada [...]
Uhusiano Imara na wa Kihistoria kati ya Tanzania na Msumbiji

Uhusiano Imara na wa Kihistoria kati ya Tanzania na Msumbiji

Rais Samia Suluhu wa Tanzania, katika hotuba yake wakati akimkaribisha Rais Filipe Jacinto Nyusi wa Msumbiji kwenye maonyesho ya 48 ya biashara yaliyo [...]
Falsafa ya 4Rs: Rais Samia Suluhu na mwelekeo mpya wa uongozi Tanzania

Falsafa ya 4Rs: Rais Samia Suluhu na mwelekeo mpya wa uongozi Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, hivi karibuni alitoa mhadhara muhimu wenye mada ya Falsafa ya 4Rs katika Chuo Cha Taifa [...]
Uchumi wakua kwa asilimia 5.4

Uchumi wakua kwa asilimia 5.4

Serikali imesema mikakati ya kukabiliana na athari za vita katika eneo la Ukraine pamoja na uwekezaji katika sekta za kilimo, nishati, maji, ujenzi, m [...]
Pato la Taifa lapaa kwa 5.1%

Pato la Taifa lapaa kwa 5.1%

Taarifa ya hali ya uchumi wa taifa imeonyesha ongezeko katika Pato Halisi la Taifa kwa kufika ashilingi bilioni 148,399.76 kutoka shilingi bilioni 141 [...]
“Uoga tulionao tuuvue”- Rais Samia

“Uoga tulionao tuuvue”- Rais Samia

Rais Samia Suluhu Hassan amesema alifokewa na wajumbe wa NEC wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) alipoamua kuruhusu vyama vya siasa kuanza mikutano ya hadhar [...]
Serikali kudahili wanafunzi 500 vyuo vya wenye ulemavu

Serikali kudahili wanafunzi 500 vyuo vya wenye ulemavu

SERIKALI imesema mwaka 2024/2025 imepanga kupitia vyuo vyake vya watu wenye ulemavu kudahili wanafunzi 1500 kati yao wasio na ulemavu ni 500 sawa na a [...]
Rais Samia afanya uteuzi

Rais Samia afanya uteuzi

Katika kuboresha utendaji kazi, Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi. [...]
UTEUZI: Prof. Makubi ‘boss’ mpya Hospitali ya Benjamin Mkapa

UTEUZI: Prof. Makubi ‘boss’ mpya Hospitali ya Benjamin Mkapa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Abel Makubi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa, [...]
1 7 8 9 10 11 123 90 / 1222 POSTS
error: Content is protected !!