Tag: habari kubwa za michezo
Mhagama atangaza ajira mpya zaidi ya 32,000
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama,ametangaza ajira mpya zaidi ya 32,000 katika sek [...]
Van Damme balozi wa DRC
Mwigizaji nyota wa zamani raia wa Ureno, Jean-Claude Van Damme (61) amepewa heshima ya kuitangaza Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo(DRC) na kuahidi kuw [...]
Rais Samia aikumbuka kata ya Kitandililo
Wananchi wa Kata ya Kitandililo, Wilaya ya Makambako Mjini, Mkoani Njombe wamemshukuru Rais Samia Suluhu kwa kuwajengea kituo cha Afya katika kata hiy [...]
Tanzania, Uswisi na Ufaransa mambo safi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) amekutana kwa pamoja na kufanya mazungumzo na mabalozi wa Ufar [...]
Muliro: Kama yupo serious aripoti polisi
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema kama aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda anahitaji msaada ya kius [...]
Diamond na Joti mabalozi Airtel
Baada ya watu kusubiri kwa muda mrefu kumfahamu mpendwa mpya ambaye amekuwa akimtaja, hatimaye usiku wa leo Aprili 11,2022 akiwa kwenye ukumbi wa Hyat [...]
MAKONDA: Mashoga wanataka kuniua
Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amefunguka rasmi kuhusu usalama wake baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu.
Kupitia ukuras [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Aprili 11,2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Aprili 11, 2022. Husikubali kupitwa.
https://www.youtube.com/watch?v=IokC [...]
Polisi adakwa akivuta bangi
Inspekta Jenerali wa Polisi jijini Lagos, Usman Baba Alkali ameagiza uchunguzi wa kina ufanyike kwa lengo la kufichua utambulisho wa afisa wa polisi a [...]
Majina ya walioitwa kazini TAKUKURU
Overview
Majina ya Kuitwa Kazini PCCB-TAKUKURU (Call For Work PCCB). Tanzania’s first anti-corruption agency dates back to 1974 when Act No. In July [...]

