Tag: habari magazetini
R. Kelly ahukumiwa miaka 20 jela
Mwimbaji wa Marekani Robert Kelly, maarufu R. Kelly amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa makosa ya unyanyasaji wa kingono.
Kesi zisizoisha zim [...]
Fahamu kuhusu kimbunga ‘Freddy’
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa ufafanuzi kuhusu uwepo wa kimbunga ‘Freddy’ kilichopo kusini magharibi mwa bahari ya Hindi karibu na p [...]
Ndege kubwa ya mizigo ATCL kuwasili nchini
Shirika la Ndege Tanzania(ATCL) limesema inatarajia kupokea Ndege nne kwa mwaka huu ambapo ndege kubwa ya mizigo itawasili nchini mwishoni mwa mwezi M [...]
Lissu arejea Ubelgiji
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara, Tundu Lisu amerejea nchini Ubelgiji kufanya mchakato wa kuhuisha kibal [...]
Magazeti ya leo Februari 16,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Februari 16,2023.
[...]
Sheria utoaji wa viungo vya ndani ya mwili mbioni kutungwa
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema serikali iko mbioni kuja na sheria itakayoruhusu wananchi kuchangia viungo vya ndani ya mwili ikiwemo figo.
Wa [...]
Magazeti ya leo Februari 13,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Februari 13,2023.
[...]
14 wakamatwa kwa tuhuma za kupora katika ajali Tanga
Jeshi la Polisi, Mkoa wa Tanga limewakamata watu 14 ambao wanatuhumiwa kufanya uporaji katika ajali iliyohusisha vifo vya watu 20 na majeruhi 12 iliyo [...]
Magazeti ya leo Februari 10,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Februari 10,2023.
[...]
Magazeti ya leo Februari 9,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Februari 9,2023.
[...]

