Tag: habari magazetini
Nafasi ya kazi Hospitali ya Mount Meru
Tangazo la nafasi ya kazi ya Mkataba- Daktari Bingwa (Radiolojia)- Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha - Mount Meru.
[...]
Magazeti ya leo Novemba 10,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Novemba 10,2022.
[...]
Rais Samia azikumbusha nchi zilizoendelea kutimiza ahadi
Rais Samia Suluhu amezitaka nchi zilizoendelea kutimiza ahadi ya kutoa fedha kwa nchi masikini kwa ajili ya kukabiliana na athari za mabadiliko ya tab [...]
Magazeti ya leo Novemba 9,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Novemba 9,2022.
[...]
Wavuvi Ziwa Victoria kupewa mafunzo wa uokoaji
Kufuatia ombi la Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila la kuwapa mafunzo wavuvi wanaofanya shughuli zao kando ya Ziwa Victoria, Waziri Mkuu, Kassim [...]
Waokota 3,000 taka kusajiliwa
Wakati waokota taka 3,000 katika mikoa 12 ya Tanzania Bara wakitarajiwa kusajiliwa katika programu ya kidigitali ya Zaidi, unyanyapaa umetajwa kuwa ch [...]
Orodha ya majina waliokuwepo kwenye ndege ya Precision Air
WALIOPELEKWA HOSPITALI
1. RAGI SAMWEL INYOMA (0752157904) 28yrs DSM
2. RAUSATH HASSAN - 26yrs BUKOBA
3. ANNA MAY MITABALO 40yrs KARAGWE
4. DR FE [...]
Awamu ya 6 yakamilisha Zahanati iliyoanza kujengwa 2000
Wananchi wa Kijiji cha Nambogo Manispaa ya Sumbawanga, wameishukuru serikali ya awamu ya sita kwa kusaidia kukamilisha ujenzi wa zahanati yao iliyoanz [...]
Precision Air yazama ziwani
Ndege ya Shirika la Ndege la Precision Air, imeanguka ziwani mjini Bukoba, Mkoani Kagera asubuhi ya leo Novemba 6,2022.
Taarifa kutoka katika mtand [...]
SGR yazidi uwezo wa Bandari ya Dar
Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma kwa mwaka wa fedha 2020/2021 imetoa maazimio yake juu ya uwezo wa reli ya kisasa y [...]

