Tag: habari magazetini
Magazeti ya leo Novemba 5,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Novemba 5,2022.
[...]
China yampongeza Rais Samia kwa maendeleo ndani ya Tanzania
Rais Samia Suluhu Hassan na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Xi Jinping wameshuhudia kusainiwa kwa mikataba na hati za makubaliano ya kimkakati 15.
[...]
Magazeti ya leo Novemba 4,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Novemba 4,2022.
[...]
Ziara ya Rais Samia China itakavyofungua fursa ya fursa
Ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini China kufuatia mualiko alioupata kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Xi Jinping, inaenda kufungua mil [...]
Rais Samia azungumza na Waziri Mkuu wa China
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na ujumbe aliombatana nao kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu (Premie [...]
Magazeti ya leo Novemba 3,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Novemba 3,2022.
[...]
Fahamu mikoa mitano vinara kwa ukataji miti
Mikoa mitano imetajwa kuwa vinara wa ukataji miti hovyo na kuharibu vyanzo vya maji.
Mikoa hiyo iliyotajwa kuharibu misitu na miti asili kwa kiasi [...]
Takeoff afariki dunia
Chanzo cha kuaminika cha habari za burudani toka Marekani, Hollywood Unlocked, umeripoti usiku huu (Kwa saa za Marekani) marapa wa kundi la Migos amba [...]
Mtoto wa Davido na Chioma afariki dunia
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya habari nchini Nigeria vinaripoti kuwa mtoto wa mwanamuziki Davido Adeleke na Mpenzi wake Chioma Rowland amefariki [...]
Mgawo wa maji mbioni kuisha
Wakazi wa wilaya ya Ilala, Kigamboni na Temeke wako mbioni kusahau mgawo wa maji baada ya Mkuu wa MKoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla jana kuwasha pam [...]

