Tag: habari magazetini

1 43 44 45 46 47 99 450 / 989 POSTS
TAHADHARI: Mlipuko wa Kipindupindu

TAHADHARI: Mlipuko wa Kipindupindu

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametahadharisha kuwapo mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu katika baadhi ya mikoa na kuwataka Watanzania kuzingatia usafi [...]
Magazeti ya leo Agosti 30,2022

Magazeti ya leo Agosti 30,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Agosti 30,2022. [...]
Maagizo ya Rais Samia kwa Kamishna Jenerali Mzee

Maagizo ya Rais Samia kwa Kamishna Jenerali Mzee

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemtaka Kamishna Jenerali wa Magereza Mzee Ramadhan Nyamka kwenda kufanya kazi kwa [...]
Serikali kuja na bei elekezi ya mifugo

Serikali kuja na bei elekezi ya mifugo

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amesema serikali ipo kwenye mchakato wa kushirikisha wadau wa sekta ya mifugo kupanga bei elekezi za kuuzia [...]
UTAFITI TWAWEZA : Fursa nyingi za ajira zinapatikana vijijini

UTAFITI TWAWEZA : Fursa nyingi za ajira zinapatikana vijijini

Taasisi isiyo ya kiserikali ya TWAWEZA imesema utafiti uliofanyika hivi karibuni kwa njia ya simu ambapo jopo la wahojiwa 3,000 waliopigiwa simu umeon [...]
Mambo yakufanya kama hautahesabiwa

Mambo yakufanya kama hautahesabiwa

Kama wewe ni miongoni mwa watu ambao hawajahesabiwa na unafikiri unaweza usipate fursa hiyo katika muda uliopangwa wa siku saba, ondoa shaka maana kil [...]
Mapya kwenye iPhone 14

Mapya kwenye iPhone 14

Kampuni ya Apple itazindua simu mpya ya iPhone 14 mapema mwezi ujao ambayo inatajiwa kuja na mambo mbalimbali mazuri ikiwemo kuboresho muundo na kamer [...]
Karani akutwa amelewa Musoma

Karani akutwa amelewa Musoma

Watu watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kujaribu kukwamisha Sensa ya Watu na Makazi mjini Musoma. Mratibu wa Sensa wa Manispaa ya Musoma, [...]
Opereshi kukamata mifuko ya plastiki kuanza Agosti 29

Opereshi kukamata mifuko ya plastiki kuanza Agosti 29

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ameelekeza operesheni ya kukamata Mifuko ya plastiki iliyokatazwa kuanza rasmi Jumatatu ya August 29 k [...]
Warudisha mahari baada ya kuteseka kwenye ndoa

Warudisha mahari baada ya kuteseka kwenye ndoa

Mtendaji wa Kijiji cha Mpwayungu Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Selemani Kibakaya ,amesema wazazi wawili waliowaoza binti zao wenye umri wa miaka 1 [...]
1 43 44 45 46 47 99 450 / 989 POSTS
error: Content is protected !!