Tag: habari magazetini

1 83 84 85 86 87 99 850 / 989 POSTS
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Februari 9,2022

Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Februari 9,2022

Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania. Husikubali kupitwa; https://www.youtube.com/watch?v=j3kDvCgCG0Y&list=PLq [...]
Rais Samia ahaidi kutekeleza kikamilifu mawazo ya Magufuli

Rais Samia ahaidi kutekeleza kikamilifu mawazo ya Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameahidi kwenda kutekeleza kikamilifu mawazo yote yaliyoanzishwa na mtanguluzi wake [...]
Nuh Mziwanda afunguka haya juu ya Shilole

Nuh Mziwanda afunguka haya juu ya Shilole

Mwanamuziki wa bongofleva Nuh Mziwanda, amefunguka na kueleza kuwa bado ana mpenda msanii na mfanyabiashara Zuwena maarufuku kama Shilole na kusema ku [...]
MunaLove ajuta

MunaLove ajuta

Msanii wa filamu za bongo na mjasiriamali Rose Alphonce maarufu kama Muna Love, amekiri kuwa mdhambi na kumsoea Mwenyezi Mungu kwa matendo yake baada [...]
Dar kinara visa vipya vya corona

Dar kinara visa vipya vya corona

Mganga mkuu wa Serikali, Dk. Aifello Sichalwe ametoa  taarifa kuhusu maambukizi ya virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa UVIKO-19 na kusema kw [...]
Keisha alilia mrabaha wake bungeni

Keisha alilia mrabaha wake bungeni

Msanii na Mbunge wa Viti Maalumu Khadija Taya maarufu kama Keisha, amefunguka bungeni na kuanza kudai mirabaha na kusema na yeye anastahili kupewa kwa [...]
Vaa hivi ufanane na Wizkid

Vaa hivi ufanane na Wizkid

Mwanamitindo wa Wizkid anastahili pongezi kwani tumeshuhudia mabadiliko ya mtindo wa uvaaji wake kutoka kwenye suruali za jeans chini ya makalio na ma [...]
Rais Samia atumbua wanne

Rais Samia atumbua wanne

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu, ametengua wakurugenzi wanne ikiwemo Buchosa, Singida mjini, Mbeya na Iringa kutokana na ub [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Februari 3,2022

Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Februari 3,2022

Hizo hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania. Husikubali kupitwa; https://www.youtube.com/watch?v=PkXxm2tCtgs&list=PLq [...]
Hii hapa Sababu daraja la Tanzanite kutumika bure 

Hii hapa Sababu daraja la Tanzanite kutumika bure 

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa ametoa sababu ya kwanini daraja jipya la Tanzanite linatumika bure huku lile la Kigamboni watumia [...]
1 83 84 85 86 87 99 850 / 989 POSTS
error: Content is protected !!