Tag: habari magazetini
Rais wa Liberia aanika siri za mkewe
Rais George Weah wa Liberia amesababisha taharuki nchini humo baada ya kuzindua kitabu chake huku wanawake nchini Liberia wakijiandaa kuandamana kwa k [...]
Vipaumbele vya Zuhura Yunus baada ya uteuzi
Aliyewahi kuwa mtangazaji wa Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), Zuhura Yunus ambaye ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu ame [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Februari 2,2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania. Husikubali kupitwa;
https://www.youtube.com/watch?v=PkXxm2tCtgs&list=PLq [...]

Rais Samia: Wanafunzi wapewe ujuzi mpya
Rais Samia amewaagiza mawaziri wanaosimamia Wizara ya Habari na Teknolojia ya Mawasiliano na ile ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kuweka mipango ya kuw [...]
Mtoto auawa na kutolewa sehemu za siri
Mwanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Tutuo, wilayani Sokonge , Mkoa wa Tabora, Maria Ngassa(13) ameuawa kikatili wakati akienda kisimani [...]
Ahueni kushuka kwa bei ya petroli na mafuta ya taa
Mamlaka ya Udhibiti wa huduma za Nishati na Maji nchini (EWURA), imetangaza kushuka kwa bei ya petroli na mafuta ya taa huku bei ya dizeli ikiongezeka [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Februari 1, 2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania. Husikubali kupitwa;
https://www.youtube.com/watch?v=PkXxm2tCtgs&list=PLq [...]
Hii hapa siri ya ushindi wa Tulia
Historia imeandikwa tena nchini Tanzania kwa namna ambavyo Dkt. Tulia Ackson ameibuka mshindi wa nafasi ya spika kwa kupata kura 376 sawa na 100% ya k [...]
Mama azaa watoto wanaobadilika jinsia
Mama mmoja kutoka Bukoba mwenye umri wa miaka 43, jina lake limehifadhiwa amekumbwa na sintofahamu baada ya watoto wake watatu aliowazaa kuwa na jins [...]
Amina : Filamu yakuchangamsha wikiendi yako
Bara la Afrika lina historia ya muda mrefu na mashujaa wengi ambao tumekuwa tukiwasoma shuleni na vyuoni. Lakini mara nyingi tumekuwa tukisoma au kusi [...]

