Tag: habari magazetini
5 Juanas : Safari ya ndugu watano kuutafuta ukweli wa wazazi wao
Filamu hii inawahusu mabinti watano ambao kwa mara ya kwanza wanakutana katika moja ya hoteli iliyopo Cancun mjini Mexico.
Kila mmoja akiwa na dhum [...]
Muheza na Korogwe wanavyonufaishwa na fedha za mkopo wa ‘IMF’
Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya Muheza, Nassibu Mmbaga amesema bila uwepo wa mradi wa fedha za ustawi wa Taifa wa mapambano dhidi ya Uviko-19 i [...]
Mkubwa Fella afunguka msanii mwingine kuondoka WCB
Said Hassan Fella maarufu kama Mkubwa Fella ambaye ni mmoja kati ya mameneja wa msanii nyota nchini Tanzania, Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz, ame [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Januari 18, 2022
Hizi hapa video zinazopeta kwenye mtandao wa Youtube Tanzania leo Jumanne Januari 18, 2022. Husikubali kupitwa
https://www.youtube.com/watch?v=CRcm [...]
Ataka kujiua kisa matokeo ya kidato cha nne
Kijana mwenye umri wa miaka 17 kutoka Zanzibar amenusurika kifo baada ya kunywa mafuta ya Taa January 15 mwaka huu baada ya kupata matokeo mabaya ya k [...]
Faida za kiafya za kunywa maji ya vuguvugu
Maji ni uhai. Umuhimu wa maji kwa afya ya mwanadamu hauwezi kusisitizwa kupita kiasi.Maji ya vuguvugu, haisa [...]
Mrithi wa panya Magawa apatikana
Baada ya kifo cha panya Magawa hatimaye mrithi wake amepatikana anafahamika kwa jina la Renin ambapo taarifa zinasema tayari yupo nchini Cambodia kuen [...]

‘Wagonga wanafunzi’ wafungiwa kamera
Baada ya kuwepo kwa idadi kubwa ya wanafunzi kugongwa na magari na kupoteza maisha katika Barabara kuu ya Dodoma - Dar es Salaam, Halmashauri ya Chamw [...]
Pepsi na Coca Cola zaadimika mtaani
Baadhi ya wafanyabiashara jiji Dar es Salaam wamesema kwamba soda zinazotengenezwa na kampuni za Pepsi na Coca Cola zimeadimika kwa muda sasa tangu D [...]
Mwenyekiti CCM Shinyanga ataka bango la Ndugai ling’olewe
Mwenyekiti wa CCM Shinyanga, Khamis Mgeja amesema kwamba kitendo kilichofanywa na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Job Nd [...]

