Tag: habari za burudani
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube leo Aprili 20,2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Jumatano Aprili 20,2022. Husikubali kupitwa,
https://www.youtube.com/watc [...]
Polisi Kagera waupiga mwingi
Jeshi la Polisi mkoa wa Kagera kwa kushirikiana na idara ya wanyama pori (TANAPA) limewakamata watuhumiwa 9 kwenye makosa mbalimbali ikiwemo kukutwa n [...]
KENYA: Polisi takribani 2,000 wanamatatizo ya akili
Takriban maafisa 2,000 wa polisi wa Kenya hawana uwezo wa kiakili kufanya kazi yao, mkuu wa huduma ya kitaifa ya polisi nchini anasema.
Inspekta Je [...]
Mabasi ya AFCON karibu yote yapotea
Takriban miezi miwili baada ya kumalizika kwa Fainali za Mataifa ya Afrika za 2021 nchini Cameroon, mabasi 89 mapya yaliyotumiwa kuendesha timu za tai [...]
Rita Dominic aolewa na Kigogo
Muigizaji maarufu kutoka nchini Nigeria, Rita Dominic amepokea pongezi nyingi kutoka kwa mashabiki zake kwa kuweza kufungua ndoa na mume wake wa muda [...]
Viwango vya kubadili fedha Aprili 20, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]
Onyo kwa chama kipya cha Umoja Party
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, amesema ni kosa kisheria kwa chama cha siasa kilichowasilisha maombi ya usajili wa muda kufanya kazi kabla ya kupew [...]
Ronaldo afiwa na mtoto
Bingwa wa dunia wa mpira wa miguu na mchezaji wa timu ya Manchester United, Christiano Ronaldo 'CR7' na mpenzi wake Georgina Rodriguez wamepoteza mtot [...]
ACT- Wazalendo kooni mwa TAMISEMI
Ofisi ya Msemaji wa Kisekta wa Chama cha ACT- Wazalendo ikiongozwa na Bi. Kulthum J. Mchuchuli, imetoa maoni kuhusu hotuba ya bajeti ya TAMISEMI iliyo [...]
Afariki akiigiza filamu ya Yesu
Mwanafunzi wa Chuo cha Seminari cha Clariantian University nchini Nigeria, Suel Ambrose amedondoka na kufariki akiwa anaigiza filamu ya Yesu maarufu k [...]

