Tag: habari za burudani
Nauli mpya za daladala
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri ardhini (LATRA) imetagaza viwango vipya vya bei ya nauli za daladala na mabasi ya mikoani huku nauli ya wanafunzi ikibakia [...]
Mtaji wa KCB Bank Kenya wapungua kwa 9% huku Tanzania ukikua 157%
Kenya Commercial Bank (KCB) imeripotiwa kupungua kwa shughuli zake nchini Kenya na ukuaji imara ukishuhudiwa katika matawi yake ya nchi nyingine ndani [...]
Rais Samia: Lengo la BBT ni kupunguza umaskini na kutunza mazingira
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema lengo la Programu ya Jenga Kesho iliyobora (BBT) ni kupunguza umaskini [...]
Fahamu mashirika 9 yaliyofutiwa usajili
Bodi ya uratibu wa mashirika yasiyo ya kiserikali nchini imefuta leseni za uendeshaji za mashirika tisa ya kimataifa na kitaifa ikiwemo taasisi ya Mo [...]
Mazungumzo ya kurudisha mabaki ya miili na mafuvu kuanza
Tanzania na Ujerumani zinatarajia kuanza mazungumzo rasmi juu ya yaliyojiri wakati wa ukoloni ikiwemo kurejesha mabaki ya miili na mafuvu yaliyochukul [...]
Matukio katika picha Rais Samia Suluhu akiwa Zambia
Rais Samia Suluhu ameweka shada Mnara wa Uhuru wa Zambia na kaburi la Rais wa Kwanza wa Zambia, Dkt. Kenneth Kaunda.
Leo Zambia inaadhimisha [...]

Rasmi DP World kuendesha sehemu ya bandari ya Dar kwa miaka 30
Tanzania imesaini mikataba mitatu na kampuni ya DP World ya Dubai ya kukodi na kuendesha sehemu ya bandari ya Dar es Salaam kwa miaka 30, miezi minne [...]
Rais Samia mgeni rasmi miaka 59 ya uhuru Zambia
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Uhuru wa Jamhuri ya Zambia zinazotarajiwa kufanyika [...]
Rais Samia: Viongozi simameni imara
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasihi viongozi wa mkoa wa Singida kuhakikisha wanasimama imara katika uteke [...]
Tanzania na India kusaini mikataba mipya 15 ya ushirikiano
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anajiandaa kwa ziara ya kihistoria ya kiserikali nchini India kuanzia Oktoba 8 hadi 11, [...]

