Tag: habari za burudani
Rais Samia kuunganisha mkoa wa Lindi kwa lami
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt, Samia Suluhu Hassan leo Septemba 18 ameweka Jiwe la Msingi kwenye ujenzi wa Barabara ya kiwango Cha [...]
Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini Mtwara kukuza utalii wa matibabu
Rais Samia Suluhu amezindua Jengo la Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini Mtwara ambayo itakuwa ikitoa huduma za kibingwa na kibobezi.
Hospitali h [...]
Rais Samia asisitiza usimamizi wa rasilimali kwa maendeleo ya wananchi
Rais Samia Suluhu Hassan amewasihi viongozi wa Afrika kusimama imara na kutumia rasilimali zilizopo kwa maendeleo ya wananchi wao.
Ameyasema hayo a [...]
Rais Samia : Mchengerwa ni bingwa wa mabadiliko
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amempongeza Waziri mpya wa OR- TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa kwa kuleta mabadili [...]
Rais Samia: Wananchi toeni maoni Dira ya Maendeleo 2050
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kushiriki katika mchakato wa maandalizi ya Dira ya Maendeleo ya 2050 ili kupata dira jumuishi itakayokid [...]
Elimu ya msingi mwisho darasa la sita
Taasisi ya Elimu Tanzania imetoa mtaala wa elimu ya msingi kuanzia darasa la kwanza hadi la sita 2023.
Muundo wa mtaala huo umebadilika na sasa eli [...]
Rais Samia atimiza ahadi ya kuwapa TLS kiwanja
Novemba 24,2022 akifungua Mkutano wa 27 wa Jumuiya ya Wansheria Afrika Mashariki jijini Arusha, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Su [...]
Serikali yatoa msamaha wa kodi matrekta kutoka nje
Sekta ya kilimo nchini imepata misamaha ya kodi katika eneo la kuagiza matrekta nje ya nchi lengo likiwa ni kusaidia kilimo nchini.
Ofisa kutoka Ma [...]
Mradi wa Kawe Beach mbioni kuanza baada ya kusitishwa kwa miaka 7
Mradi mkubwa wa mali isiyohamishika maarufu kama Seven-Eleven (711) ulioko katika eneo la Mbezi Beach/Kawe roundabout jijini Dar es Salaam unatarajiwa [...]
IMF yaipongeza Tanzania kwa utulivu wa kiuchumi
Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF), Bo Li, ameipongeza Tanzania kuwa na utulivu wa kiuchumi wakati ambao kimataifa mazingira [...]

