Tag: habari za burudani
Magazeti ya leo Septemba 16,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Septemba 16,2022.
[...]
Askari 300 kuwasaka Panya Road
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema wametoa askari 300, kwa ajili ya kuendesha opereseheni ya kuwakamata Panya Road, ambao wamekuwa wa [...]
Lita ya petroli Nairobi Sh3469.94
Lita moja ya petroli jijini Nairobi sasa itauzwa kwa Sh3469.94 (Ksh179.30) kutoka Ksh159 katika bei mpya iliyotangazwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Nisha [...]
Busara yatumika kupunguza faini ya Manara
Kamati ya rufaa ya Shirikisho la Mpira wa Miguu TFF leo imetangaza kumpunguzia adhabu Msemaji wa Yanga Haji Manara kutoa milioni 20 ya faini aliyotaki [...]
Ajali Mbeya yaua DED wa Igunga
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Fatuma Latu amefariki dunia baada ya kupata ajali ya gari katika eneo la Inyala, [...]
Dkt. Mapango azindua stendi ya mabasi Mwanza
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango jana tarehe 13 Septemba 2022 amezindua rasmi stendi ya mabasi na maege [...]
Magazeti ya leo Septemba 14,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Septemba 14,2022.
[...]
Wanaojaribu kujiua wasishtakiwe
Madaktari wanaotibu magonjwa ya afya ya akili, wameiomba serikali kupitia upya sheria inayowafunga watu wanaofanya jaribio la kujiua ili wapatiwe tiba [...]
Ahadi ya Rais Samia kwa WaKenya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amempongeza Rais wa Kenya William Ruto kwa kuapishwa kuwa Rais wa awamu ya tano wa n [...]
Magazeti ya leo Septemba 13,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Septemba 13,2022.
[...]

