Tag: habari za burudani
Maelekezo ya CCM kwa Serikali
Malalamiko ya utitiri wa kodi hususani za miamala ya simu na ya kibenki, Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa iliyokutana [...]
Vituo 10 vya Afya Dar vimejengwa kwa fedha za tozo ya miamala ya simu
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa maboresho makubwa kwenye sekta ya Afya hususani Ujenzi wa Vit [...]
Moshi mweupe mradi wa LNG
Waziri wa Nishati, January Makamba, ametembelea ofisi za Kampuni ya Shell, nchini Uholanzi, na kukutana na kuzungumza na viongozi wakuu wa kampuni hiy [...]
Tanzania kumpa ushirikiano Ruto
Rais Samia Suluhu Hassan, amesema ataendelea kufanya kazi na Rais mteule wa Kenya, Dk. William Ruto, kudumisha uhusiano wa kihistoria na undugu baina [...]
Ufafanuzi wa laki 8 ya kuunganisha umeme
Wizara ya Nishati imesema gharama halisi ya kuunganisha huduma ya umeme katika nyumba kwa wakazi wa mijini na vijijini ni Sh800,000.
Hata hivyo, kias [...]
Mpango kumuwakilisha Rais Samia Rwanda
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango leo tarehe 05 Septemba 2022 amewasili Kigali nchini Rwanda ambap [...]
Maendeleo ujenzi Daraja la JPM yamridhisha Kinana
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Magufuli lililopo maeneo ya Kigongo Busisi mkoani Mwanza
Daraja hilo l [...]
Walioolewa na wenye watoto ruksa kushiriki Miss Universe
Huenda mashindano ya ulimbwende yanayofanyika katika maeneo mbalimbali duniani yakachua sura mpya na kufungua fursa zaidi kwa wanawake kufaidika na ta [...]
Sababu za MV. Magogoni kukwama
Taarifa kutoka kwa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) imeeleza sababu ya kivuko cha MV Magogoni kukwamba na namna walivyokinasua.
[...]
Mkurugenzi Mkuu ZAECA ajiuzulu
Siku tano baada ya Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi kuitaka Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi (Zaeca) kujitathmini, Mkurugenzi Mkuu wa [...]

