Tag: habari za burudani

1 80 81 82 83 84 154 820 / 1532 POSTS
Simba kumuaga Wawa

Simba kumuaga Wawa

Klabu ya Simba imeamua kuacha na beki wake wa kati raia wa Ivory Coast Pascal Wawa baada ya mkataba wake kumalizika kwenye klabu hiyo yenye makazi yak [...]
Nabi amtamani Msuva

Nabi amtamani Msuva

Simon Msuva yupo nchini tangu mwaka jana baada ya kuzinguana na timu yake ya Wydad Casablanca ya Morocco na kupelekana Fifa, ila juzi alifunga mabao m [...]
Mwanachuo anusurika kipigo akidaiwa kumtupa kichanga baada ya kujifungua

Mwanachuo anusurika kipigo akidaiwa kumtupa kichanga baada ya kujifungua

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (Saut) Mwanza aliyetambulika kwa jina moja la Judith amenusurika kipigo kutoka kwa wananchi  akidaiwa [...]
Oman kujenga Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro

Oman kujenga Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro

Hatimaye ziara ya siku tatu nchini Oman iliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan imeanza kuzaa matunda baada ya Viwanja vya ndege Muscat kutia saini ya [...]
Nyani waua mtoto mchanga

Nyani waua mtoto mchanga

Kundi la nyani wa hifadhi ya Gombe iliyopo kijiji cha Mwamgongo wilayani Kigoma, limevamia nyumba ya Shayima Faya (20) na kumpokonya mtoto mchanga wak [...]
Sabaya kizimbani leo

Sabaya kizimbani leo

Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne leo Jumatatu Juni 20, 2022 wamefikishwa mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kusikiliza [...]
Tahadhari upepo mkali kwa siku tatu

Tahadhari upepo mkali kwa siku tatu

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetahahdarisha umma kuwepo vipindi vya upepo mkali katika Bahari ya Hindi kwa siku tatu mfululizo kuanzia leo. [...]
Umuhimu wa uwekaji mipaka Loliondo

Umuhimu wa uwekaji mipaka Loliondo

Wataalamu wa wanyamapori katika Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori Afrika (Mweka) wamepongeza uamuzi wa serikali kuweka mipaka ya eneo la Pori Tengefu [...]
Njia rahisi ya kuondoa mba

Njia rahisi ya kuondoa mba

Kuweka ngozi ya kichwa chako ikiwa na unyevu, kuisafisha mara kwa mara na kutumia shampoo na kuosha nywele zako mara kwa mara ndiyo njia sahihi ya kut [...]
Zanzibar ndani ya Ligi Kuu ya Uingereza

Zanzibar ndani ya Ligi Kuu ya Uingereza

Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi akutana na kufanya mazungumzo na timu ya Masoko ya Klabu ya Southampton ya Ligi Kuu ya Uingereza. Wamefanya [...]
1 80 81 82 83 84 154 820 / 1532 POSTS
error: Content is protected !!