Tag: habari za kimataifa

1 112 113 114 115 116 171 1140 / 1707 POSTS
Sababu 7 za kutembelea Tanzania

Sababu 7 za kutembelea Tanzania

Tanzania ni kati ya mataifa yanayosifiwa kwa kuwa na utajiri wa vivutio vya kitalii vya asili,kutoka kwa wanyamapori wa kustaajabisha hadi fukwe za ku [...]
Fahamu njia 5 za kupata mimba haraka

Fahamu njia 5 za kupata mimba haraka

Fanya mabadiliko haya kwenye lishe yako ili kuongeza uzazi wako. Mdalasini Mdalasini inaweza kusaidia ufanyaji kazi mzuri wa ovari na hivyo kuwa [...]
Wasio na kazi wapewa kipaumbele ajira za sensa

Wasio na kazi wapewa kipaumbele ajira za sensa

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais (Sera,Uratibu na Shughuli za Baraza la Wawakilishi) Hamza Hassan Juma, amesema mchakato wa muda wa ajir [...]
Alichosema Fatma Karume kwenye Kikosi Kazi

Alichosema Fatma Karume kwenye Kikosi Kazi

Aliyewahi kuwa Rais wa Chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) Fatma Karume, ameshauri uwepo wa mfumo wa muungano wa seriklai tatu tofauti na uliopo hiv [...]
Viwango vya kubadili fedha Mei 14, 2022

Viwango vya kubadili fedha Mei 14, 2022

Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania. [...]
Serikali dhidi ya ukatilii wa wanawake

Serikali dhidi ya ukatilii wa wanawake

Serikali imesema itaendelea kuongeza jitihada katika mapambano dhidi ya vitendo vya ukatili kwa wanawake na watoto kwa kushirikiana na wadau wa maende [...]
Wabunge waomba mshahara milioni 23

Wabunge waomba mshahara milioni 23

Wabunge wa Kenya wameomba ongezeko la 62% ya mshahara wao ili kufikia shilingi milioni 1.15 ya Kenya sawa na milioni 23 za Kitanzania. Wabunge hao [...]
Ushahidi wa mauaji mikononi mwa Tumbili

Ushahidi wa mauaji mikononi mwa Tumbili

Kesi ya mauaji iliyotokea 2016 imeahirishwa baada ya Tumbili kuiba ushahidi nyeti wa kesi hiyo. Polisi wa Rajasthan hivi karibuni wameshindwa kufik [...]
Kilichomtesa Rais wa UAE kwa miaka 8

Kilichomtesa Rais wa UAE kwa miaka 8

Rais Sheikh Khalifa bin Zayed al-Nahyan wa Umoja wa Falme za Kiarabu (United Arab Emirates) amefariki dunia hii leo akiwa na umri wa miaka 73. Kwa [...]
Harmonize anaendelea alipoishia

Harmonize anaendelea alipoishia

Harmonize bado anaendelea na safari yake ya kuomba msahama kwa aliyewahi kuwa mpenzi wake, Kajala Masanja kwa kumnunulia magari mawili aina ya Range R [...]
1 112 113 114 115 116 171 1140 / 1707 POSTS
error: Content is protected !!