Tag: habari za kimataifa
Mabasi ya AFCON karibu yote yapotea
Takriban miezi miwili baada ya kumalizika kwa Fainali za Mataifa ya Afrika za 2021 nchini Cameroon, mabasi 89 mapya yaliyotumiwa kuendesha timu za tai [...]
Viwango vya kubadili fedha Aprili 20, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube leo Aprili 19,2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Jumanne Aprili 19,2022. Husikubali kupitwa
https://www.youtube.com/watch? [...]
SIMBA SC: Tunaomba Ulinzi
Klabu ya soka ya Simba imetoa taarifa kusikitishwa na kile wanachodai kuwa ni shutuma zilizotolewa na Kocha Msaidizi wa timu ya Orlando Pirates Mandla [...]
ACT- Wazalendo kooni mwa TAMISEMI
Ofisi ya Msemaji wa Kisekta wa Chama cha ACT- Wazalendo ikiongozwa na Bi. Kulthum J. Mchuchuli, imetoa maoni kuhusu hotuba ya bajeti ya TAMISEMI iliyo [...]
Afariki akiigiza filamu ya Yesu
Mwanafunzi wa Chuo cha Seminari cha Clariantian University nchini Nigeria, Suel Ambrose amedondoka na kufariki akiwa anaigiza filamu ya Yesu maarufu k [...]
Zainab ammwagia mtu uji Zanzibar
Mkazi wa Mtaa wa Zanzibar, Manispaa ya Musoma, mkoani Mara, Adamu Mohammed ameliomba Jeshi la Polisi limkamate mama mzazi wa mkewe, Zainab Ally kwa ma [...]
Idadi ya waliokufa maji yafikia 443
Watu 443 wamefariki dunia kufuatia mafuriko na mmomonyoko wa ardhi KwaZulu-Natal, nchini Afrika Kusini huku wengine 63 wakiendelea kutafutwa wasioneka [...]
Aliyekuwa Meya wa Moshi ang’oa misaada yake
Juma Raibu aliyekuwa Meya Mstahiki wa Manispaa ya Moshi ambaye hivi karibuni aling’olewa wadhifa huo ameamua kwenda kung’oa misaada aliyowahi kuitoa k [...]
Magazeti ya leo Aprili 18,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Aprili 18,2022.
[...]