Tag: habari za kimataifa
SGR yaanza majaribio leo Dar hadi Morogoro
Shirika la Reli Tanzania (TRC) leo February 26,2024 limeanza safari yake ya kwanza rasmi ya majaribio ya treni ya SGR kutoka Dar es salaam hadi Mkoani [...]
Rais Samia awapongeza Ramadhan Brothers
Rais Samia Suluhu Hassan amewapongeza vijana wa kitanzania wanaofahamika kwa jina maarufu la Ramadhan Brothers kwa kushinda shindano la ‘America Got T [...]
Mfalme Harald V ampongeza Rais Samia kwa kulinda haki za mtoto wa kike
Mfalme wa Norway, Harald V amempongeza Rais Samia Suluhu kwa kazi kubwa anayoifanya ya kuhakikisha kwamba analinda na kuzipigania haki za mtoto wa kik [...]
Rais Samia Suluhu na Papa Francis kuendeleza uhusiano wa Tanzania na Vatican
Rais Samia Suluhu amekutana na Papa Francis leo Februari 12,2024 San Damaso mjini Vatican na kufanya mazunguko ya faragha.
Pia Rais Samia alikutana [...]
Rais Samia awasili Indonesia
Rais Samia Suluhu Hassan alifika Jakarta leo kuanza ziara ya kiserikali nchini Indonesia. Nchi hiyo ya Kusini Mashariki mwa Asia imeendelea kuwa na uh [...]
Jinsi Rais Samia anavyoipaisha Tanzania kiuchumi
Hatua ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kuitaja Tanzania miongoni mwa mataifa 10 ya Afrika yenye deni dogo la taifa imedhihirisha mafanikio ya ma [...]
Bandari ya Dar kimbilio la wengi
Mabadiliko katika miundombinu, teknolojia ya kupakua na kupakia shehena na kasi ya kuhudumia meli katika Bandari ya Dar es Salaam kumeifanya bandari h [...]
Tanzania ya pili uzalishaji wa tumbaku Afrika
Waziri wa Kilimo nchini Tanzania, Mhe. Hussein Bashe amesema takwimu za hivi karibu zinaonyesha Tanzania imekuwa mzalishaji wa pili mkubwa wa tumbaku [...]

Rais Samia atengua uteuzi wa kamishna wa petroli na gesi
RAIS Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Kamishna wa Petroli na Gesi, Michael Songora Mjinja.
Taarifa iliyotolewa leo Januari 4, 2024, na Mkuru [...]
Tanzania ya pili Afrika, 12 duniani kuongezeka watalii
Tanzania imeongeza idadi ya watalii wa kigeni wanaoingia nchini kwa asilimia 19 kufikia Septemba mwaka huu ikilinganishwa na idadi ya juu iliyopata ku [...]