Rais Samia atengua uteuzi wa kamishna wa petroli na gesi

HomeKitaifa

Rais Samia atengua uteuzi wa kamishna wa petroli na gesi

RAIS Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Kamishna wa Petroli na Gesi, Michael Songora Mjinja.

Taarifa iliyotolewa leo Januari 4, 2024, na Mkurugenzi wa Wasiliano Ikulu, Zuhura Yunus imeeleza kuwa Mjinja atapangiwa kazi nyingine.

error: Content is protected !!