Tag: habari za kimataifa
Mtanzania mwingine auawa nchini Israeli
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amesema amejulishwa na Serikali ya Israel kwamba kijana wa Kitanzania, Josh [...]

Rais Samia asema Hanang itarejea kama zamani
Rais Samia Suluhu Hassan amesema maisha ya watanzania walioathirika na maafa ya mafuriko na maporomoko ya tope huko wilayani Hanang mkoani Manyara yat [...]
Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 2,244
Jumla ya wafungwa 2,244 watanufaika na msamaha uliotolewa leo na Rais Samia Suluhu ambapo 263 wataachiwa huru tarehe 09/12/2023, wafungwa wawili walio [...]
Sh. bilioni 80 kuendeleza Bandari ya Mbamba Bay
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania- TPA imeingia Mkataba wa usanifu na ujenzi wa uendelezaji wa Bandari ya Mbamba Bay iliyopo wilayani Nyasa Mko [...]
Maboresho miundombinu ya viwanja vya ndege ni endelevu
Serikali imesema itaendelea kujenga na kupanua miundombinu ya viwanja vya ndege ili kujihakikishia utoaji wa huduma ndani ya nchi na nchi jirani.
K [...]
Nauli mpya za daladala
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri ardhini (LATRA) imetagaza viwango vipya vya bei ya nauli za daladala na mabasi ya mikoani huku nauli ya wanafunzi ikibakia [...]
Mazingira magumu Kenya yaikimbiza Standard Chartered Bank
Benki ya Standard Chartered Kenya imepunguza kiasi kikubwa cha hisa zake katika dhamana za serikali ya Kenya kwa 52% baada ya kupata hasara ya uwekeza [...]
Maagizo matatu ya Rais Samia kwa viongozi wa michezo nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa maagizo kwa viongozi wa michezo nchini kuhakikisha wanaiendesha vyema sek [...]
Rais wa Romania kuja nchini kwa ziara ya kitaifa
RAIS wa Romania, Klaus Iohannis, kesho November 16 hadi 19, 2023 anatarajia kufanya ziara ya Kitaifa nchini hapa kufuatia mwaliko alioupata kutoka kwa [...]
Bodi na Menejimenti ya TASAC yafanya ziara mkoani Mtwara
Bodi ya Wakurugenzi na Menejimenti ya Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) ikiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi Nahodha. Mussa Mandia imefanya ziar [...]