Tag: habari za kimataifa
Asilimia 84 ya wananchi husikiliza redio
Ripoti ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria wa Mwaka 2022 inaeleza kwamba chombo cha habari kinachotumika zaidi ni redio amba [...]
Matukio katika picha Rais Samia Suluhu akiwa Zambia
Rais Samia Suluhu ameweka shada Mnara wa Uhuru wa Zambia na kaburi la Rais wa Kwanza wa Zambia, Dkt. Kenneth Kaunda.
Leo Zambia inaadhimisha [...]

Rasmi DP World kuendesha sehemu ya bandari ya Dar kwa miaka 30
Tanzania imesaini mikataba mitatu na kampuni ya DP World ya Dubai ya kukodi na kuendesha sehemu ya bandari ya Dar es Salaam kwa miaka 30, miezi minne [...]
Rais Samia mgeni rasmi miaka 59 ya uhuru Zambia
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Uhuru wa Jamhuri ya Zambia zinazotarajiwa kufanyika [...]
Rais Samia : vyuo vya ufundi kujengwa kila wilaya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imejidhatiti katika kuhakikisha kwamba wilaya nchini kuna chuo [...]
Rais Samia: Viongozi simameni imara
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasihi viongozi wa mkoa wa Singida kuhakikisha wanasimama imara katika uteke [...]
Kardinali Rugambwa: Watanzania dumisheni upendo na umoja kwa wote
Kardinali Protase Rugambwa amewataka Watanzani wawe tayari kujenga na kudumisha utamaduni wa upendo na mshikamano na watu wengine hata ambao si Watanz [...]
Waziri aagiza kitengo cha huduma kwa wateja kuimarishwa
Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa ameliagiza Shirika la Ndege la Air Tanzania kuimarisha utoaji wa taarifa kwa wateja wao ili kuepusha sintofah [...]
Rais Samia aagiza kuanzishwa kwa tovuti za kumbukumbu za viongozi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameagiza kuanzishwa kwa tovuti ya Serikali ya kuhifadhi kumbukumbu za viongozi walio [...]
Waziri Mchengerwa amsimamisha kazi Mkurugenzi Busega
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Busega [...]