Tag: habari za kimataifa
Tanzania na dhamira ya kuwa mwenyeji AFCON 2027
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kushirikiana na Kenya na Uganda kupitia Pamoja Bid wamedhamiria kuwa mwenyeji wa [...]
Bandari ya Dar yaipiku Bandari ya Mombasa kwa ubora duniani
Katika ripoti yake ya hivi karibuni kuhusu bandari zenye ufanisi zaidi duniani, Benki ya Dunia imesema kuwa bandari ya Mombasa imepinduliwa na bandari [...]
Sekta ya Mawasiliano inazidi kukua nchini
Kutokana na Hotuba ya Wazari wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, iliyosomwa na Waziri Nape Nnauye imeonesha kuwa Sekta ya Mawasiliano imee [...]
Ukweli kuhusu mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo
Na Hamza Karama, Kariakoo DSM
Kwa ufupi
Wafanyabiashara wakubwa wakwepa kodi tangu enzi za Awamu ya Nne watajwa kuwa chanzo cha mgomo.
Maamuz [...]
Waziri wa Fedha akaangwa na wafanyabiashara Kariakoo
Baadhi ya wafanyabiashara nchini Tanzania wamesema hawaridhiishwi na namna Waziri wa Fedha na Mipango Dk Mwigulu Nchemba anavyoshughulikia changamoto [...]
Serikali yasikia kilio cha wafanyabiashara K/koo
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajia kukutana na kamati ya wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo, Mawaziri wa sekta husika na Mamlaka ya Mapato Tanzan [...]
Vibali vya minara kutoka ndani ya mwezi mmoja na sio miezi 6
Rais Samia Suluhu Hassan amezitaka mamlaka zinazohusika na utoaji wa vibali vya ujenzi wa minara ya simu kwa kampuni za simu kutoa vibali hivyo ndani [...]
Fahamu wasifu wa marehemu Bernard Kamilius Membe
Bernard Kamilius Membe alizaliwa tarehe 9 Novemba, 1953, Rondo, Chiponda, katika Mkoa wa Lindi, akiwa ni mtoto wa pili kati wa watoto saba (7) walioza [...]
Membe afariki dunia
Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Mhe.Bernard Kamilius Membe, amefariki dunia muda mfupi uliopita katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam [...]
Rais Samia aridhia miaka 30 kulipa Magomeni Kota
Wakala wa Mjengo Tanzania (TBA) umesema Rais Samia Suluhu ameridhia wakazi 644 wa Magomeni Kota, Dar es Salaam waongezewe muda wa ununuzi wa nyumba zi [...]