Tag: habari za kimataifa

1 25 26 27 28 29 164 270 / 1636 POSTS
Rais Samia ahimiza vijana kujiunga na kilimo

Rais Samia ahimiza vijana kujiunga na kilimo

Huenda sekta ya kilimo Tanzania ikachukua sura mpya kwa kuongeza wigo wa ajira pamoja na mchango katika pato la Taifa mara baada ya Serikali kufanya u [...]
Wafukua kaburi na kuiba sehemu za siri za marehemu

Wafukua kaburi na kuiba sehemu za siri za marehemu

Watu wasiojulikana wamefukua kaburi alipokuwa amezikwa marehemu Ruben Kasala (74) na kuondoa sehemu za siri. Mtoto wa marehemu, Frank Kasala amesem [...]
Serikali kuendelea na maboresho ya sekta ya afya

Serikali kuendelea na maboresho ya sekta ya afya

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema serikali itaendelea kununa vifaa vya matibabu ili huduma nyingi za kitabibu au matabibu bingwa zitolewe [...]
Afariki kwa kuangukiwa na jiwe akifanya adhabu baada ya kushindwa kuongea kiingereza

Afariki kwa kuangukiwa na jiwe akifanya adhabu baada ya kushindwa kuongea kiingereza

Jeshi la polisi mkoani Mwanza linawashikilia walimu wawili wa Shule ya Sekondari Mwinuko kwa kosa la kusababisha kifo cha mwanafunzi mmoja wa kidato c [...]
Magazeti ya leo Machi 18,2023

Magazeti ya leo Machi 18,2023

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Machi 18,2023. [...]
Tanzania kuwa ghala la chakula barani Afrika

Tanzania kuwa ghala la chakula barani Afrika

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kutumia vyema fursa ya kuwa mwenyeji wa mkutano wa Jukwaa la Mfumo wa Chakula Afrika (AGRF) [...]
Miwili bila JPM, Kazi inaendelea

Miwili bila JPM, Kazi inaendelea

Leo ni kumbukizi ya miaka miwili tangu afariki dunia Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano, Dk. John Pombe Magufuli. Dk. Magufuli aliaga dunia Machi 17 [...]
Magazeti ya leo Machi 17,2023

Magazeti ya leo Machi 17,2023

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Machi 17,2023. [...]
Tanzania mwenyeji mkutano mkubwa Afrika wa chakula na kilimo

Tanzania mwenyeji mkutano mkubwa Afrika wa chakula na kilimo

Huenda Afrika likaanza kujitosheleza kwa chakula siku zijazo baada ya wadau wa maendeleo na wataalam wa sekta ya kilimo kukutana Tanzania ili kujadili [...]
Magazeti ya leo Machi 14,2023

Magazeti ya leo Machi 14,2023

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Machi 14,2023. [...]
1 25 26 27 28 29 164 270 / 1636 POSTS
error: Content is protected !!