Tag: habari za kimataifa

1 26 27 28 29 30 164 280 / 1636 POSTS
Zaidi ya Sh. Bilioni 100 kuboresha vyuo vya ufundi stadi

Zaidi ya Sh. Bilioni 100 kuboresha vyuo vya ufundi stadi

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inawekeza zaidi ya Sh bilioni 100 kwa ajili ya kuboresha elimu kwenye vyuo vya ufundi na stadi mbal [...]
Magazeti ya leo Machi 10,2023

Magazeti ya leo Machi 10,2023

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Machi 10,2023. [...]
Suala la wabunge 19 tuiachie mahakama

Suala la wabunge 19 tuiachie mahakama

Rais Samia Suluhu Hassan amesema hawezi kuingilia kati suala la Wabunge 19 wanaodaiwa kuwa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kutaka ma [...]
DC Iringa awataka kina mama kuachana na ‘vibenteni’

DC Iringa awataka kina mama kuachana na ‘vibenteni’

Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Verronica Kessy amewaonya akina mama (wanawake watu wazima) wanaojihusisha kimapenzi na wavulana wadogo (vibenteni) akisema [...]
CHADEMA kupokea milioni 102 ya ruzuku kwa mwezi

CHADEMA kupokea milioni 102 ya ruzuku kwa mwezi

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema chama hicho kimekubali kupokea ruzuku ya Sh. milioni 102 kwa mw [...]
Tanzania haidaiwi zaidi ya sh. trilioni 10 na EIB

Tanzania haidaiwi zaidi ya sh. trilioni 10 na EIB

Wizara ya Fedha na Mipango nchini Tanzania imewataka wananchi kupuuzia taarifa zinazoonekana kupitia mitandao ya kijamii kuwa Serikali inadaiwa Dola z [...]
Magazeti ya leo Machi 6,2023

Magazeti ya leo Machi 6,2023

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Machi 6,2023. [...]
Bodaboda Arusha wamjibu Lema kuwaita ‘wakimbiza upepo’

Bodaboda Arusha wamjibu Lema kuwaita ‘wakimbiza upepo’

Uongozi wa Umoja wa Bodaboda wilayani Arusha (UBOJA) wamelaani kauli iliyotolewa na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini  (Chadema), Godbless Lem [...]
Anayedaiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja kuchunguzwa

Anayedaiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja kuchunguzwa

Kaminshna wa Polisi Zanzibar, Hamad Khamisi, amesema wanamchunguza askari wao anayetuhumiwa kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsi moja (ushoga) na ikith [...]
1 26 27 28 29 30 164 280 / 1636 POSTS
error: Content is protected !!