Tag: habari za kimataifa
Serikali kuboresha maslahi ya wanahabari 2023
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema mwaka 2023 Serikali itaweka nguvu kubwa katika kuboresha maslahi ya waandis [...]
Benki ya Dunia yatoa mkopo wa zaidi ya bilioni 700 kwa Tanzania
Huenda tatizo la upatikanaji wa maji safi na salama vijijini likapungua nchini Tanzania baada ya Benki ya Dunia kuidhinisha mkopo wa zaidi ya Dola za [...]
Kauli ya Serikali kuhusu ongezeka bei za vyakula
Serikali imewahakikishia Watanzania kuwa hakuna maeneo yatakayokosa chakula kwa kuwa inayo hifadhi ya kutosha huku ikisisitiza kuwa, bei ya bidhaa nyi [...]
Magazeti ya leo Desemba 17,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Desemba 17,2022.
[...]
Mbegu za kiume uhifadhi virusi vya Ebola
Mwanaume akipata ugonjwa wa Ebola na akafanikiwa kupona, anapaswa kukaa miezi sita bila kujamiiana kwa kuwa virusi vya ugonjwa huo uendelea kuishi kwe [...]
Uhalali wa matumizi ya bangi nchini
Mamlaka ya kudbihiti na Kupamabana na Dawa za Kulevya (DCEA) imesema haiwezi na haina mamlaka ya kuruhusu matumizi ya bangi nchini kwa kuwa jambo hilo [...]
Magazeti ya leo Desemba 15,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Desemba 15,2022.
[...]
Baiskeli chanzo kifo cha mwandishi TBC
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ambaye alikuwa kwenye msafara wa waliokwenda kupanda Mlima Kilimanjaro, amesema chanzo cha kifo cha mwandishi [...]
Magazeti ya leo Desemba 14,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Desemba 14,2022.
[...]
Serikali kufikisha umeme vijiji vyote 2030
Serikali ya Tanzania imedhamiria kuimaliza changamoto ya ukosefu wa umeme katika vijiji vyote vya nchi hiyo ifikapo mwaka 2030.
Serrikali imeonyesh [...]