Tag: habari za kimataifa
Dar yaongoza kuwa na wagonjwa wa mabusha na matende
Utafiti uliofanywa na Wizara ya Afya kupitia Mpango wa Taifa wa kudhibiti Magonjwa Yaliyokuwa Hayapewi Kipaumbele (NTDPC) mwaka jana mkoani Dar es Sal [...]
Kocha wa Simba na wenzake 9 wadakwa na dawa za kulevya kilo 34.89
Kocha wa Makipa wa Klabu ya Simba, Muharami Said Mohamed (40) wa wenzake tisa wamekamatwa na kilo 34.89 za dawa za kulevya aina ya Heroin kwa mujibu w [...]
Amuua kikatili na kisha kumla nyama
Mkazi wa Kitongoji cha Chang’ombe, Kijiji cha Kaloleni wilayani Songwe, Berta Shugha (69) ameuawa kikatili na mwili wake kukatwa vipande vipande huku [...]
CHADEMA: Tumechoka mtu wetu kuwa mkimbizi
Chama cha Demokrasia (CHADEMA) mkoa wa Singida kimesema kimechoka kumwona Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu akiishi ughaibuni kama mkimbiz [...]
Helikopta kutua Mlima Kilimanjaro
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imesema imeridhishwa na miundombinu ya utalii ikiwemo viwanja vya kutua helikopta katika Hifad [...]
Watahiniwa 566,840 kidato cha nne kuanza mtihani kesho
Jumla ya watahiniwa 566,840 wanatarajiwa kufanya mtihani wa kidato cha nne utakaoanza kesho Novemba 14, 2022 Tanzania Bara na Zanzibar.
Kaimu Mtend [...]
Lady Jaydee kusimama na Rais Samia
Rais Samia Suluhu Hassan, amepongezwa kwa kuleta suluhu nchini Tanzania kwa kuwaunganisha Watanzania bila kujali itikadi zao, dini au jinsia katika ku [...]
Matunda ziara ya Rais Samia nchini China na Misri
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus, amezungumza na waandishi wa habari kuhusu ziara ya Rais Samia nchini China na Misri.
Zuhura [...]
Magazeti ya leo Novemba 12,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Novemba 12,2022.
[...]
Kivuko kipya Kigamboni
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Fatma Nyangasa ameeleza kufurahishwa na hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan kuelekeza kununuliwa kwa kivuko kipya kwa ajili [...]