Tag: habari za kimataifa
Magazeti ya leo Novemba 10,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Novemba 10,2022.
[...]
Simulizi ya kijana Majaliwa, shujaa aliyeokoa watu 24
Majaliwa ni jina linalovuma ndani na hata nje ya nchi baada ya kuwa ‘raia wa kwanza’ aliyeshuhudia na kushiriki kikamilifu uokoaji wa watu katika ndeg [...]
Magazeti ya leo Novemba 9,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Novemba 9,2022.
[...]
Precision Air ilivyotolewa ziwani
Ndege ya Precision air iliyopata ajali siku ya jumapili baaada ya kushindwa kutua kwenye Uwanja wa ndege wa Bukoba na kudondokea ziwa Victoria tayari [...]
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji lampokea Majaliwa
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji lampokea Rasmi Kijana Majaliwa Jackson,Maagizo ya Rais na Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu Hassan ,yameshatekelezwa.
[...]
Wavuvi Ziwa Victoria kupewa mafunzo wa uokoaji
Kufuatia ombi la Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila la kuwapa mafunzo wavuvi wanaofanya shughuli zao kando ya Ziwa Victoria, Waziri Mkuu, Kassim [...]
Utendaji kazi wa Rais Samia wamvutia mgombea wa CHADEMA, ahamia CCM
Aliyekuwa mgombea ubunge wa Masasi Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mwaka 2020, Mustapha Swalehe amejiunga na Chama cha Mapin [...]
Orodha ya majina waliokuwepo kwenye ndege ya Precision Air
WALIOPELEKWA HOSPITALI
1. RAGI SAMWEL INYOMA (0752157904) 28yrs DSM
2. RAUSATH HASSAN - 26yrs BUKOBA
3. ANNA MAY MITABALO 40yrs KARAGWE
4. DR FE [...]
Awamu ya 6 yakamilisha Zahanati iliyoanza kujengwa 2000
Wananchi wa Kijiji cha Nambogo Manispaa ya Sumbawanga, wameishukuru serikali ya awamu ya sita kwa kusaidia kukamilisha ujenzi wa zahanati yao iliyoanz [...]
Precision Air yazama ziwani
Ndege ya Shirika la Ndege la Precision Air, imeanguka ziwani mjini Bukoba, Mkoani Kagera asubuhi ya leo Novemba 6,2022.
Taarifa kutoka katika mtand [...]

