Tag: habari za kimataifa

1 68 69 70 71 72 164 700 / 1636 POSTS
Shaka awasha moto Kaliua

Shaka awasha moto Kaliua

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa(NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka amesema Chama hiko hakiko tayari kuona wala kusikia mtendaji wa [...]
Magazeti ya leo Agosti 17,2022

Magazeti ya leo Agosti 17,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Agosti 17,2022. [...]
Ummy: Serikali itakarabati Uwanja wa Mkwakwani

Ummy: Serikali itakarabati Uwanja wa Mkwakwani

Mbunge wa Tanga Ummy Mwalimu amesema atashirikiana na Chama cha Mapinduzi (CCM) kukarabati uwanja wa Mkwakwani uliofungiwa na Shirikisho la Mpira wa M [...]
Taulo za kike sasa bure

Taulo za kike sasa bure

Bidhaa za hedhi, zikiwemo tamponi na taulo za kike, zitapatikana bila malipo katika vituo vya umma nchini Scotland kuanzia Jumatatu. Mswada wa Bidh [...]
Ofisa wa Tume aliyepotea Kenya akutwa amefariki Kilombero

Ofisa wa Tume aliyepotea Kenya akutwa amefariki Kilombero

Saa chache baada ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) ya Kenya kumtangaze Dk William Ruto kuwa Rais mteule wa Kenya, mwili wa ofisa wa tume hiyo [...]
Magazeti ya leo Agosti 16,2022

Magazeti ya leo Agosti 16,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Agosti 16,2022. [...]
Alichosema Ruto baada ya ushindi

Alichosema Ruto baada ya ushindi

Baada ya Tume Huru ya Uchaguzi kumtangaza Dk William Ruto kuwa mshindi (Rais Mteule)  wa uchaguzi uliofanyika Agosti 9 mwaka huu, ametaja siri ya ushi [...]
Ruto alivyoibuka kidedea

Ruto alivyoibuka kidedea

Hatimaye Tume ya Uchaguzi Kenya imetangaza matokeo ya uchaguzi kama ifuatavyo: William Ruto - 7,176,141 Votes 50.49%   Raila Odinga - 6 [...]
Urusi wavutiwa na Rais Samia

Urusi wavutiwa na Rais Samia

Serikali ya Urusi imesema sera ya uwazi ya Rais Samia Suluhu Hassan inawatia moyo na kuahidi kuhamasisha uwekezaji,biashara na watalii wengi wa Urusi [...]
Rais Samia: Niwaombe sana kachanjeni

Rais Samia: Niwaombe sana kachanjeni

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ameendelea kuwataka Watanzania kujikinga dhidi ya Ugonjwa wa UVIKO-19 kwa kufua [...]
1 68 69 70 71 72 164 700 / 1636 POSTS
error: Content is protected !!