Tag: habari za kimataifa
Magazeti ya leo Agosti 11,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Agosti 11,2022.
[...]
Rais Samia atangaza ujio wa Filamu ya The Hidden Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema kwamba vivutio ambavyo havikuonyeshwa kwenye awamu ya kwanza ya filamu ya Ro [...]
Gharama ya kumuona daktari mbioni kufutwa
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ameshangazwa na baadhi ya hospitali kuwatoza wagonjwa kiasi cha shilingi 15,000 ili kuweza kumuona daktari jambo ambalo s [...]
Viongozi wa dini walaani kitendo cha Tunda Man kutumia jeneza Simba Day
Baadhi ya viongozi wa dini wakiwamo maaskofu, wameibuka na kutoa kauli kuhusu kitendo cha klabu ya Simba kuruhusu wato burudani kuingia na jeneza lili [...]
Ujumbe kwa Simba na Yanga kutoka Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa amezipongeza na kuzitaki kila heri timu za Simba na Yanga kuelekea mchezo wao wa [...]
Kizz Daniel: Kweli begi langu moja lilisahaulika Nairobi
Msanii wa nchini Nigeria, Daniel Anidugbe maarufu Kizz Daniel amewaomba radhi Watanzania kwa kushindwa kufanya onyesho lake mkoani Dar es Salaam.
[...]
Picha za Muonekano wa Barabara ya Njombe- Makete KM 107.4
Muonekano wa Barabara ya Njombe-Makete km 107.4 ambayo imefunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika h [...]
Kamanda Muliro azungumzia sakata la Kizz Daniel
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro ameeleza hatua za Jeshi la Polisi kuhusu sakata la Msanii kutoka nchi Nigeria, Kizz Da [...]
AYO TV washushiwa rungu na TCRA
Televisheni ya mtandaoni ya Millard Ayo (AYO TV) inatakiwa kuomba radhi siku tatu mfululizo baada ya kuchapisha maudhui yanayoonyesha miili ya watoto [...]
Matukio aliyowahi kufanya Kizz Daniel
Juni 2022: Alizua hasira nchini Zambia, nusura show yake izuiwe kufuatia dharau kwa waandishi wa habari na kumsukuma shabiki yake mmoja aliyejaribu ku [...]