Tag: habari za kimataifa
Mama amuua binti yake
Mama na mwanaye wa kiume wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka ya kumuua binti wa kumzaa wa mama huyo.
Was [...]
Kiasi kilichotolewa na Yanga SC kumpata KI
Usajili huo ambao unajumuisha nyota mbalimbali wa ndani na nje, usiku wa kuamkia leo Julai 15,2022 Yanga SC wamemtambulisha nyota na kiungo msham [...]
Tanzania yapokea dozi milioni 3 chanjo ya corona
Shehena nyingine ya chanjo aina ya Sinopharm dozi milioni tatu zimeingia nchini ambazo zitawakinga Watanzania 1,500,000 dihi ya ugonjwa wa Uviko-19.
[...]
Rais Samia aeleza umuhimu wa sekta binafsi
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amesema kuna umuhimu kwa viongozi na watendaji wa Serikali kutathimini utekele [...]
Magazeti ya leo Julai 15,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Julai 15,2022.
[...]
Rais ajiuzulu
Rais wa Sri Lanka, Gotabaya Rajapaska amejiuzulu rasmi leo alhamisi Julai 14,2022 akiwa Singapore.
Rais huyo aliamua kukimbia nchi yake siku ya Jum [...]
Aeleza namna bora ya kumuenzi hayati Mkapa
Rais Samia Suluhu Hassan amesema njia bora ya kuendelea kumuenzi aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Benjamin Mkapa ni kuimarisha ushirikiano kati ya Se [...]
Wachezaji walioitwa kambini
Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Kim Poulsen ameita kikosi cha wachezaji 24, kitakachoingia kambini kwa ajili ya michezo ya kufuzu kwa [...]
Uwoya : natafuta mtu wa kunichekesha
Muigizaji wa Filamu nchini Tanzania Irene Uwoya, ametangaza ajira kwa mtu yeyote mchekeshaji atayekuwa na jukumu la kumchekesha muda wote.
Kupitia [...]
Magazeti ya leo Julai 14,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Julai 14,2022.
[...]