Tag: habari za kimataifa
Tanzania yapata tuzo ya Ubunifu wa Kutangaza Utalii
Tanzania imefanikiwa kupata Tuzo ya Banda Bora lenye Ubunifu wa Kutangaza Utalii katika maonesho ya 37 ya utalii ya Seoul International Travel Fair (S [...]
Harmonize kubadili dini
Tayari wawili hawa wameshavalishana pete za uchumba na kinachofuata ni ndoa ambayo haijafahamika itafungwa lini.
Frida maarufu kama Kajala ni mkris [...]
Auawa kwa kuchomwa kisu baada ya kukataa kuolewa
Mauaji ya mwanafunzi mmoja wakike aliyefahamika kwa jina la Nayera Ashraf nchini Egypt yamezua mjadala mkubwa baada ya kuhusishwa kwa wivu wa mapenzi [...]
Historia ya Tanzania kuwa somo mashuleni
Historia ya Tanzania itaanza kufundishwa mwakani kama somo katika shule za msingi na sekondari kama alivyoagiza Rais wa awamu ya tano, Hayati John Mag [...]
Mdee na wenzake watuma barua kwa spika
Wabunge 19 wa viti maalumu waliofutiwa uanachama CHADEMA, wamewasilisha tena maombi namba 27/2022 ya kuomba kibali cha kufungua kesi ya kupinga kuvuli [...]
Meli ya sulphur za bure kwa wananchi yakifa Mtwara
Meli ya BOSS7 iliyobeba viwatilifu aina ya Salfa ya unga tani zaidi ya elfu 5 imewasili katika Bandari ya Mtwara ikitokea Uturuki, ikiwa ni muendelezo [...]
Kikokotoo cha zamani hakirudishwi
Serikali imesema haitarudisha kikokotoo cha zamani cha mafao ya wastaafu cha asilimia 50, kwa kuwa hakileti usawa katika ugawaji wa fedha wanazopata w [...]
Mwigulu aeleza umuhimu wa madeni nchini
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Mwigulu Nchemba amefafanua umuhimu wa mikopo katika nchi na kusema kila taifa lenye maendeleo lazima liwe na deni na [...]
Mabeyo asema nchi ipo salama na Rais Samia
Baada ya kulitumika jeshi kwa takribani miaka 43, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF) Jenerali Venance Mabeyo, amefunguka mambo kadha wa kadha ku [...]
Magazeti ya leo Juni 24,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Juni 24,2022.
[...]