Tag: habari za kimataifa
Mwijaku ashinda kesi
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Mei 31 imemwachia huru Mwemba Burton maarufu Mwijaku ambaye alikuwa anakabiliwa na shtaka la kusambaza picha za n [...]
Pablo atemwa na Simba
Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa timu hiyo Pablo Franco Martin.
Katika kipindi chake koc [...]
Sabaya bado sana
Hukumu ya Kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya pamoja na wenzake imeahirishwa hadi Juni 10, 2022,hii [...]
Rais Samia apongezwa na kaya masikini
Wananchi mkoani Lindi jimbo la Mchinga wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan na serikali ya awamu ya sita kwa ujumla jinsi anavyoonesha kwa vitendo ku [...]
Aliyeua ajiua
Said Oswayo anayedaiwa kumuua kwa kumpiga risasi kadhaa mke wake Swalha Salum (28) naye amekutwa amejiua kwa kujipiga risasi.
Kaimu Kamanda wa Poli [...]
Mashine za kuhesabu magari kufungwa barabarani
Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), inawatangazia wananchi na wadau wote usafirishaji kuwa inaendelea na maboresho katika miundombinu ya barabara [...]
Tahadhari juu ya bei ya sukari duniani
Bei ya sukari inatarajiwa kupanda kutokana na vikwazo vya kuuza nje na mataifa kadhaa muhimu yanayozalisha bidhaa zinazotaka kudhibiti kupanda kwa bei [...]
Auawa na mumewe kwa kupigwa risasi za kichwa
Mwanamke maarufu jijini Mwanza aitwaye Swalha, aliyekuwa akijishughulisha na masuala ya urembo (make up artist) ameuawa kwa kupigwa na risasi na mumew [...]
Viwango vya kubadili fedha Mei 30, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]
Watu 31 Wafariki wakigombea chakula
Takriban watu 31 wamefariki wakati mkanyagano ulipozuka kusini mwa Nigeria wakati wa hafla ya kutoa misaada ya kanisa ambapo chakula kilikuwa kikigawa [...]