Tag: juma jux

1 36 37 38 39 40 57 380 / 564 POSTS
Aliyemwagiwa tindikali aomba msaada

Aliyemwagiwa tindikali aomba msaada

Tark ni kijana mdogo wa kitanzania, mzalendo na aliekuwa na ndoto zake kubwa lakini leo ndoto hizo zimefifia, matumaini yamepotea, baada ya kuvamiwa n [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Aprili 29,2022

Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Aprili 29,2022

Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Ijumaa Aprili 29,2022. Husikubali kupitwa. https://www.youtube.com/watch? [...]
Kili Paul avamiwa na watu wasiojulikana

Kili Paul avamiwa na watu wasiojulikana

Kili Paul maarufu kama Mmasai wa Tiktok amevamiwa na watu wasiojulika waliokua wamebeba silaha kama mapanga na visu  ambapo walimjeruhi wakati akijari [...]
Zelensky: Naomba kuhutubia Muungano wa Afrika

Zelensky: Naomba kuhutubia Muungano wa Afrika

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ametoa ombi jipya la kutaka ahutubie wakuu wa mataifa ya Muungano wa Afrika (AU), kulingana na Kamishna wa AU, Mous [...]
Mambo 5 ya kufanya kwenye gauni la harusi

Mambo 5 ya kufanya kwenye gauni la harusi

Gauni lako la harusi ni nzuri sana hivi kwamba unatamani ungeivaa kila wikendi! Kwa bahati mbaya, huwezi. Nguo hiyo hakika ni ya kupendeza kwa moyo [...]
CCM yakubali deni

CCM yakubali deni

Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Tiwtter, kimetoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu madai ya wakandarasi dhidi ya Uhuru [...]
Baba amnajisi mtoto wa miezi 11

Baba amnajisi mtoto wa miezi 11

Kamanda wa Polisi mkoani Tanga, Safia Jongo amethibitisha kutokea kwa tukio la mtoto wa miezi 11 kunajisiwa na baba yake wa kambo anayeishi eneo la Am [...]
Umoja Party wamlilia Rais Samia

Umoja Party wamlilia Rais Samia

Uongozi wa Chama cha Umoja Party umemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, kuingilia kati kuhakikisha wanapata haki yao ya usajili katika Ofisi za Msajili w [...]
Youtube ya Diamond Platnumz yafutwa

Youtube ya Diamond Platnumz yafutwa

Ikiwa ni siku mbili tangu kudukuliwa kwa akaunti ya Youtube ya msanii Diamond Platnmuz, leo Jumatatu Aprili 25,2022 akaunti hiyo imefutwa katika mtand [...]
1 36 37 38 39 40 57 380 / 564 POSTS
error: Content is protected !!