Tag: nafasi za kazi
Walimu waliomcheka mtoto akichapwa wasimamishwa kazi
Katibu Tawala Mkoa wa Kagera, Toba Nguvila amewasimamisha kazi watumishi watano akiwamo Mratibu Elimu Kata ya Kalanja na walimu wanne waliokuwa wanach [...]
Orodha ya wakuu wa wilaya wanaoendelea na kazi
Orodha ya wakuu wa wilaya wanaoendelea na kazi.
[...]
Wakuu wapya wa wilaya 37
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya Wapya 37.
[...]
Uzalishaji Umeme na gesi asilia waongezeka nchini
Wizara ya Nishati imesema uwezo wa mitambo ya kuzalisha umeme iliyoungwa katika mfumo wa gridi ya taifa umeongezeka na kufi kia megawati 1,777.05 Dese [...]
Nafasi za kazi 320 TAKUKURU
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imetangaza nafasi 320 za kazi kwa vijana wa Kitanzania wenye umri usiozidi miaka 30.
Nafasi hiz [...]
Vipipi vyapigwa marufuku Zanzibar
Mamlaka ya Chakula na Dawa Zanzibar (ZFDA) imepiga marufuku bidhaa aina ya Lump Sugar maarufu ‘Vipipi utamu’ vinavyodaiwa kutumiwa na baadhi ya wanaw [...]
Miradi 630 ya kampuni za India yasajiliwa kuwekeza Tanzania
Miradi mipya 630 ya uwekezaji inayotekelezwa na kampuni za India yenye thamani za dola 3.68 bilioni imesajiliwa katika mwaka wa fedha 2021/2022 kupiti [...]
Magazeti ya leo Januari 19,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Januari 19,2023.
[...]
Wahadzabe, Wadatoga wapinga tozo
Jamii ya Wahadzabe na Wadatoga wanaoishi wilayani Karatu katika Mkoa wa Arusha, wametishia kuyahama makazi yao kwa kuwa halmashauri ya wilaya hiyo ime [...]
Magazeti ya leo Januari 17,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Januari 17,2023.
[...]

