Tag: nafasi za kazi
Rais Samia afanya uteuzi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Makatibu wakuu wawili, kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa leo na [...]
Rais Samia anavyoimarisha mifumo ya chakula na kilimo
Rais Dkt. Samia Suluhu ameridhia Tanzania kuwa mwenyeji wa Mkutano mkubwa wa Kilimo utakaohusisha Viongozi, watu mashuhuri na wadau wapya 3,000.
Ua [...]
Magazeti ya leo Desemba 13,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Desemna 13,2022.
[...]
Simba na Casablanca, Yanga na TP Mazembe
Draw za michuano ya klabu bingwa barani Afrika pamoja na ile ya Shirikisho barani humo tayari imekwisha wekwa wazi huku vilabu vya Tanzania vikianguki [...]
Barbara kujiuzulu Simba SC
CEO wa timu ya Simba SC, Barbara Gonzalez ameandika baarua ya kujiuzulu kwenye klabu hiyo ya wekundu wa msimbazi taarifa aliyoitoa kupitia ukurasa wak [...]
LATRA yazikataa nauli za SGR
Mamlaka ya uthibiti wa usafiri wa ardhini nchini Tanzania (LATRA) yakanusha nauli zinazosambazwa mitandaoni zikitajwa kua ndio nauli zitakazotumika ka [...]
Kauli za wachezaji wa Morocco zilivyoibua hisia za Waafrika
Hivi karibuni kumeibuka mjadala miongoni mwao waafrika hasa katika mitandao ya kijamii kufuatia kauli zinazotiliwa shaka kua ni kauli za kibaguzi kwa [...]
Magazeti ya leo Desemba 10,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Desemba 10,2022.
[...]
Rais Samia kuifumua serikali
Rais Samia Suluhu Hassan amesema katika kipindi cha miaka miwili ya uongozi wake, amebaini kuwepo kwa baadhi ya watu wasioendana na kasi yake.
Am [...]
Kicheko bei mpya za petroli na dizeli
Dar es Salaam. Huenda itakuwa kicheko na maumivu kwa watumiaji wa nishati ya mafuta baada ya kutolewa kwa bei mpya zinazoonyesha kupanda na kushuka kw [...]