Tag: nafasi za kazi
Rais Samia azikumbusha nchi zilizoendelea kutimiza ahadi
Rais Samia Suluhu amezitaka nchi zilizoendelea kutimiza ahadi ya kutoa fedha kwa nchi masikini kwa ajili ya kukabiliana na athari za mabadiliko ya tab [...]
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji lampokea Majaliwa
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji lampokea Rasmi Kijana Majaliwa Jackson,Maagizo ya Rais na Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu Hassan ,yameshatekelezwa.
[...]
Waokota 3,000 taka kusajiliwa
Wakati waokota taka 3,000 katika mikoa 12 ya Tanzania Bara wakitarajiwa kusajiliwa katika programu ya kidigitali ya Zaidi, unyanyapaa umetajwa kuwa ch [...]
Utendaji kazi wa Rais Samia wamvutia mgombea wa CHADEMA, ahamia CCM
Aliyekuwa mgombea ubunge wa Masasi Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mwaka 2020, Mustapha Swalehe amejiunga na Chama cha Mapin [...]
Orodha ya majina waliokuwepo kwenye ndege ya Precision Air
WALIOPELEKWA HOSPITALI
1. RAGI SAMWEL INYOMA (0752157904) 28yrs DSM
2. RAUSATH HASSAN - 26yrs BUKOBA
3. ANNA MAY MITABALO 40yrs KARAGWE
4. DR FE [...]
Awamu ya 6 yakamilisha Zahanati iliyoanza kujengwa 2000
Wananchi wa Kijiji cha Nambogo Manispaa ya Sumbawanga, wameishukuru serikali ya awamu ya sita kwa kusaidia kukamilisha ujenzi wa zahanati yao iliyoanz [...]
SGR yazidi uwezo wa Bandari ya Dar
Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma kwa mwaka wa fedha 2020/2021 imetoa maazimio yake juu ya uwezo wa reli ya kisasa y [...]
Rais Samia ameandika historia Uwanja wa Kimataifa
Na Dk Juma Mohammed, Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya ziara rasmi katika Jamhuri ya Watu wa China.
[...]
Serikali kutoa bima ya afya bure kwa Watanzania mil. 4.5
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema serikali imekusudia kutoa bima za afya kwa wote kwa watanzania milioni 4.5 sawa na asilimia 30 ya watu milioni 15 [...]
Magazeti ya leo Novemba 4,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Novemba 4,2022.
[...]

