Tag: nafasi za kazi
Magazeti ya leo Novemba 3,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Novemba 3,2022.
[...]
Tanzania yaongoza kuwa na Nyati wengi barani Afrika
Tanzania inatajwa kuwa nchi inayongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya nyati barani Afrika kwa kuwa na jumla ya nyati 191,805.
Hayo yamesemwa na Waziri [...]
Fahamu mikoa mitano vinara kwa ukataji miti
Mikoa mitano imetajwa kuwa vinara wa ukataji miti hovyo na kuharibu vyanzo vya maji.
Mikoa hiyo iliyotajwa kuharibu misitu na miti asili kwa kiasi [...]
Magazeti ya leo Novemba 2,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Novemba 2,2022.
[...]
Takeoff afariki dunia
Chanzo cha kuaminika cha habari za burudani toka Marekani, Hollywood Unlocked, umeripoti usiku huu (Kwa saa za Marekani) marapa wa kundi la Migos amba [...]
Magazeti ya leo Novemba 1,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Novemba 1,2022.
[...]
Rais Samia ataka mpango wa maendeleo wa kuhudumia wananchi mil. 61.7
Rais Samia Suluhu Hassan amesema ongezeko la idadi ya watu Tanzania ni mzigo kwa Taifa, hivyo lazima iwepo mipango madhubuti ya kuwahudumia watu milio [...]
Dar tayari kuikabili Ebola
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amekutana na timu ya dharura ya kukabili maambukizi ya magonjwa ya mlipuko katika Mkoa wa Dar es Salaam ili kuona utayrai [...]
Sababu ya maduka ya Game kufungwa
Kampuni ya Massmart kutoka Afrika Kusini inayomiliki maduka ya Game imetangaza kuwa Disemba 25, 2022 ni mwisho wa maduka yake kutoa huduma Tanzania.
[...]
Madereva wa malori bandarini Dar waigomea TICTS
Madereva malori wameigomea kampuni ya kimataifa ya kuhudumia makontena Tanzania katika bandari ya Dar es Salaam (TICTS) kutokana ucheleweshaji mkubwa [...]

