Tag: nafasi za kazi
TAHADHARI: Mlipuko wa Kipindupindu
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametahadharisha kuwapo mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu katika baadhi ya mikoa na kuwataka Watanzania kuzingatia usafi [...]
NMB yazindua ATM ya kubadili fedha Uwanja wa KIA
Benki ya NMB jana imezindua mashine ya kutolea fedha (ATM) ya kwanza katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa Kilimanjaro (KIA) yenye uwezo wa kubadili [...]
Maagizo ya Rais Samia kwa Kamishna Jenerali Mzee
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemtaka Kamishna Jenerali wa Magereza Mzee Ramadhan Nyamka kwenda kufanya kazi kwa [...]
Serikali kuja na bei elekezi ya mifugo
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amesema serikali ipo kwenye mchakato wa kushirikisha wadau wa sekta ya mifugo kupanga bei elekezi za kuuzia [...]
Nani alipe kodi ya pango?
Kutokana na mjadala mpana unaondelea kuhusiana na kodi ya pango ya asilimia 10 inayopaswa kulipwa na wapangaji wa nyumba binafsi, Mamlaka ya Mapato [...]
UTAFITI TWAWEZA : Fursa nyingi za ajira zinapatikana vijijini
Taasisi isiyo ya kiserikali ya TWAWEZA imesema utafiti uliofanyika hivi karibuni kwa njia ya simu ambapo jopo la wahojiwa 3,000 waliopigiwa simu umeon [...]
Mambo yakufanya kama hautahesabiwa
Kama wewe ni miongoni mwa watu ambao hawajahesabiwa na unafikiri unaweza usipate fursa hiyo katika muda uliopangwa wa siku saba, ondoa shaka maana kil [...]
Magazeti ya leo Agosti 26,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Agosti 26,2022.
[...]
Karani akutwa amelewa Musoma
Watu watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kujaribu kukwamisha Sensa ya Watu na Makazi mjini Musoma.
Mratibu wa Sensa wa Manispaa ya Musoma, [...]
Fahamu makao makuu ya kuku Tanzania
Ni rasmi sasa Mkoa wa Tabora ndiyo unaoongoza kwa kuzalisha kuku wengi zaidi wa kienyeji Tanzania baada ya takwimu mpya kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwi [...]