Tag: nafasi za kazi
TRC yaomba nauli iongezeke kwa 15%
Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini (LATRA-CCC), limesema limepokea maombi ya ongezeko la nauli za treni kwa asilimia 15 kwa k [...]
Khaby wa Tiktok apewa rasmi uraia wa Italia
Mchekeshaji Khaby Lame, anayeongoza kwa kufuatiliwa zaidi kwenye mtandao wa TikTok duniani, amepewa uraia wa Italia katika hafla iliyofanyika katika m [...]
Magazeti ya leo Agosti 19,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Agosti 19,2022.
[...]
Rais Samia anavyoipambania lugha ya Kiswahili
Rais Samia Suluhu amewasihi wajumbe wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kutumia lugha ya Kiswahili na pia kuharakisha mchakato wa kuifany [...]
Taulo za kike sasa bure
Bidhaa za hedhi, zikiwemo tamponi na taulo za kike, zitapatikana bila malipo katika vituo vya umma nchini Scotland kuanzia Jumatatu.
Mswada wa Bidh [...]
Ofisa wa Tume aliyepotea Kenya akutwa amefariki Kilombero
Saa chache baada ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) ya Kenya kumtangaze Dk William Ruto kuwa Rais mteule wa Kenya, mwili wa ofisa wa tume hiyo [...]
Ruto alivyoibuka kidedea
Hatimaye Tume ya Uchaguzi Kenya imetangaza matokeo ya uchaguzi kama ifuatavyo:
William Ruto - 7,176,141 Votes 50.49%
Raila Odinga - 6 [...]
Urusi wavutiwa na Rais Samia
Serikali ya Urusi imesema sera ya uwazi ya Rais Samia Suluhu Hassan inawatia moyo na kuahidi kuhamasisha uwekezaji,biashara na watalii wengi wa Urusi [...]
Msichana mmoja huambukizwa VVU, kila baada ya dakika moja
Wakati dunia ikiendelea na mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi, nguvu kubwa ielekezwe kuwalinda wasichana ambao wamekuwa wahanga wa ugonjwa huo.
Kw [...]
Rais Samia awasihi wazazi kuwapa lishe watoto
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amewataka wazazi katika Mkoa wa Iringa kuongeza usimamizi katika masuala ya lishe bora [...]