Tag: nafasi za kazi
Diwani CCM apotea
Diwani wa Kata ya Kawe mkoani Dar es Salaam, Mutta Rwakatare (CCM) anadaiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha huku vyombo vya dola vikiombwa kus [...]
Kesi ya Mange yafutwa
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imekubali kuondoa kesi inayomkabili Mkurugenzi wa Mtandao wa U- turn unaoendesha App ya Mange Kimambi, Allen Mhina baa [...]
Mwalimu madrasa alawiti, mwanamke abaka mtoto
Serikalini mkoani Arusha ikijipanga kumfikisha mahakamani mwalimu wa madrasa, Jumanne Ikungi anayetuhumiwa kuwalawiti wanafunzi 22 wa Shule ya Msingi [...]
Elon Musk asita
Bilionea Elon Musk amesema amesitisha kwa muda mchakato wa ununuzi mtandao wa Twitter wenye thamani ya Dola za Marekani bilioni 44 (Sh102.3 trilioni) [...]
Maeneo 7 Tanzania kuonesha fainali za UEFA
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa amesema mechi ya fainali ya 67 ya Ligi ya Mabingwa Ulaya(Uefa Champions League Fainal 2022) [...]
Fahamu vyakula 6 vinavyoongeza makalio
Linapokuja suala la kupata kitako kikubwa zaidi, wengi wetu tunavutiwa na kufanya mazoezi pamoja na wengine kunywa dawa, Walakini, ikiwa unaota ndoto [...]
Leo afariki dunia
Muigizaji wa Nollywood Leo Mezie amefariki dunia Jumamosi mwezi Mei tarehe 14 mwaka huu jijini Abuja alipokuwa anaugua baada ya kupandikizwa figo.
[...]
Alichozungumza Prof. Lipumba na Rais Samia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba mara baa [...]
Air Tanzania kuanza safari za Pemba
Kwa muda sasa, ndege za ATCL zimekuwa zikisafirisha abiria na mizigo kwenda Unguja, Zanzibar na siyo Pemba, jambo linaweza kuwa linaikosesha fursa ya [...]
Tanzania yaguswa na kifo cha Rais wa UAE
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi LIberata Mulamula (Mb) amesaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Umoja wa Fal [...]