Tag: nafasi za kazi
Neema vituo vya afya Ludewa
Halmashauri ya wilaya ya Ludewa mkoani Njombe ni miongoni mwa halmashauri zilizopokea fedha kiasi cha shilingi milioni 250 kwa ajili ya kujenga jengo [...]
Steve : Natoa masaa 48
Msemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania (SMT), Steve Nyerere ametoa masaa 48 kwa Mbunge wa Muheza, Hamisi Mwinjuma maarufu kama Mwana FA na wasanii w [...]
Kaburi la vijana wengi
Vijana wengi wamekuwa wakishindwa kutoka kwenye kaburi la kupata mafanikio na kusonga mbele katika maisha na hii ni kutokana na kuwa ndani ya kifungo [...]
Mtoto alawiti wenzake 19
Mtoto mwenye umri wa miaka 14 (Jina linahifadhiwa) mkazi wa Manispaa ya Iringa, anashikiliwa na Polisi kwa madai ya kuwalawiti watoto wenzake 19 kwa n [...]
Tahadhari kirusi kipya
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema serikali inafuatilia uwapo wa aina mpya ya kirusi cha UVIKO-19 kilichothibitishwa na Shirika la Afya Duniani (WHO [...]
Mwijaku atangaza nia
Mtangazaji wa kipindi cha Leo Tena Clouds Radio, Mwijaku ametangaza nia ya kuwa msemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania wadhifa aliopewa Steve Nyerer [...]
Faru Rajabu afariki
Shirika la Hifadhi ya Taifa Tanzania (TANAPA) limetoa taarifa kuhusu kifo cha Faru Rabaju aliyefariki usiku wa kuamkia leo Machi 21, 2022 akiwa na mia [...]
Waliofariki ajali ya Morogoro kulipwa
Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (Tira) imesema waathirika wote wa ajali iliyotokea mkoani Morogoro hivi karibuni na kusababisha vifo vya watu 23 [...]
Mama Janeth Magufuli atoa misaada
Mama Janeth Magufuli, Mjane wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano Dkt John Pombe Magufuli, amesema ataendeleza utamaduni waliyojiwekea yeye na marehemu m [...]
MGM yaungana na Amazon studios
Amazon imefunga rasmi jana Mach 17,2022 mkataba wake wakuinunua kampuni ya MGM kwa kiasi cha fedha dola bilioni 8.5 na kusema kwamba hakuna mfanyakaz [...]