Tag: nafasi za kazi
Madadapoa wamaliza mavuno Shinyanga
Wanawake katika vijiji wilayani Shinyanga, wa,elalamika kitendo cha madadapoa maarufu 'machangudoa' kutoka mjini kwenda huko kipindi cha mavuno, kufan [...]
GSM amkalia kooni Makonda
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anadaiwa kutaka kupora nyumba ya mfanyabiashara Gharib Said Mohamed wa kampuni ya GSM.
Nyumba [...]
Bajaji Mbeya: Asante Rais Samia
Vijana waendesha bajaji kutoka Halmashauri ya Mbeya kata ya Mbalizi wametoa pongezi na shukurani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Sa [...]
Ngorongoro: Tembo aua mmoja
Mtu mmoja aliyefahamika kwa majina ya Narudwasha Titika (45), mkazi wa kijiji cha Alaitore kilichopo ndani ya Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro amefari [...]
Aliyepandikizwa moyo wa nguruwe afariki
David Bennett binadamu wa kwanza kufanyiwa upasuaji wa upandikizwaji wa moyo wa nguruwe amefariki dunia Machi 8 mwaka huu, David amefariki akiwa na um [...]
Maagizo ya Makalla kwa Taasisi hizi
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amezielekeza Taasisi za TANROAD, TARURA, DAWASA NA TANESCO kuhakikisha wanaboresha utoaji wa huduma il [...]

Rais Samia na fursa za uchumi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema serikali inajipanga kukabiliana na changamoto za kiuchumi zinazosababishwa na jang [...]
Pasha afariki vitani
Muigizaji maarufu kutoka nchini Ukraine, Pasha li (33) amefariki akiwa vitani baada ya kushambuliwa na wanajeshi wa jeshi la Urusi katika mji wa Irpin [...]
Samia atimiza ahadi yake
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inafanya jitihada ya kuweka mazingira rafiki ya kufundishia na kujif [...]
URUSI: BEBA BENDERA YA TZ
Wanafunzi waliokuwa wamekwama katika mji wa Sumy-Ukraine kuanza kuondolewa kwa kupitia mpaka wa Urusi huku wakiambiwa wabebe mabegi na bendera za Tanz [...]

