Tag: Tozo

1 5 6 7 8 9 26 70 / 256 POSTS
Fahamu taratibu za uuzaji wa bidhaa za uvuvi China

Fahamu taratibu za uuzaji wa bidhaa za uvuvi China

China ni miongoni mwa masoko makubwa ulimwenguni yanayonunua bidhaa za uvuvi. Mkataba uliosainiwa wakati wa Ziara ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan nch [...]
Wafariki wakidaka kumbikumbi

Wafariki wakidaka kumbikumbi

Watu wawili akiwamo mjamzito, wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa katika Kata ya Mhembe wilayani Kigoma baada ya kugongwa na pikipiki wakati [...]
Dkt. Rais Samia: Dunia yote inawasubiri

Dkt. Rais Samia: Dunia yote inawasubiri

Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,amewapongeza wahitihu wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam waliohitimu leo Novemba 30, 20 [...]
Waziri Mkuu amsimamisha kazi mtumishi aliyekutwa na sare za jeshi

Waziri Mkuu amsimamisha kazi mtumishi aliyekutwa na sare za jeshi

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amemsimamisha kazi Ofisa Maendeleo ya Jamii wa Halmashauri ya Kibiti, Goefrey Haule, kwa tuhuma za rushwa na kukutwa ame [...]
Bilioni 7 kumaliza kero ya maji Ludewa

Bilioni 7 kumaliza kero ya maji Ludewa

Serikali imetoa zaidi ya Sh.bilioni 7 kwa wakala wa maji safi na usafi wa mazingira vijijini(Ruwasa),kwa ajili ya kutekeleza mradi  mkubwa wa maji kat [...]
Mgawo wa maji Dar, Pwani umekwisha

Mgawo wa maji Dar, Pwani umekwisha

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makala ametangaza kusitishwa rasmi kwa mgao wa maji katika Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani. Makala ameyasema hayo [...]
Rais Samia ampa miezi mitatu Waziri Aweso

Rais Samia ampa miezi mitatu Waziri Aweso

Rais Samia Suluhu Hassan ametoa miezi mitatu kwa Waziri wa Maji, Jumaa Aweso akamilishe mradi wa maji unojengwa kwa Sh bilioni 1.7 wilayani Monduli. [...]
Mapya yaibuka ajali ya ndege ya Precision Air

Mapya yaibuka ajali ya ndege ya Precision Air

Ripoti ya awali ya ajali ya ndege ya Precision iliyotokea eneo la Ziwa Victoria imeonyesha kwamba mfanyakazi mmoja wa ndege hiyo akishirikiana na abir [...]
76% ya Watanzania hawapigi mswaki

76% ya Watanzania hawapigi mswaki

Asilimi 76.5 ya Watu wazima Tanzania wameoza meno kutokana na kutopiga mswaki. Mkurugenzi Msaidizi wa Kinga na Meno kutoka Wizara ya Afya, Dk Barak [...]
EU yaipatia Tanzania Bil.34 kufikisha umeme vijijini

EU yaipatia Tanzania Bil.34 kufikisha umeme vijijini

Dhamira ya serikali ya Awamu ya Sita ya kuhakikisha umeme unafika mpaka vijijini kwa namna yoyote inaenda kutimia, baada ya Wakala wa Nishati Vijijini [...]
1 5 6 7 8 9 26 70 / 256 POSTS
error: Content is protected !!