Tag: trending videos
Tazama video zinazo-trend Youtube Desemba 17, 2021
Hizi hapa video zinazopeta kwenye mtandao wa Youtube Tanzania leo Ijumaa Desemba 17, 2021. Husikubali kupitwa:
https://www.youtube.com/watch?v=2x03 [...]
Fahamu kirusi kipya cha Corona aina ya Omicron
Kwanza kabisa tambua kwamba kirusi hicho hakizalishwi maabara kama watu wengi wanavyozusha kwenye mitandao ya kijamii na mitaani. Ukweli ni kwamba huu [...]
Dawa unazoweza kutumia nyumbani kutibu mafua na kifua
Kutokana na hali ya baridi watu wengi wanasumbuliwa na mafua, mafua ambayo yanaambatana na maumivu ya mwili, kuhisi baridi, homa, kuhisi mwili mzito p [...]
Chukua tahadhari hizi mwisho huu wa mwaka
Wakati huu wa sikukuu za mwisho wa mwaka, watu hutumia muda wao kuwatembelea ndugu, marafiki na wapendwa wao katika maeneo mbalimbali. Tofauti na miak [...]
Watu maarufu walionunua magari 2021
Mwaka 2021 umekuwa na changamoto kwa wengi ikiwa ni pamoja na janga la Covid- 19, biashara nyingi zilikwama na nyingine kuwa vilema hali iliyofanya ma [...]
Madalali sasa ni rasmi, kuanza usajili Januari 2022
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi, William Lukuvi ametoa mwongozo wa kusimamia shughuli za udalali nchini ili kuwatambua, kutambua shughu [...]
Ukitaka uzuri lazima udhurike
Sio jambo la kushangaza katika miji mikubwa kama Dar es Salaam kuona vijana wakiwa wamebeba vikapu vyenye nyenzo za kutengenezea kucha na kuzunguka na [...]
Rais Samia amshangaa diwani Kigamboni
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amesema anashangazwa na diwani mmoja Wilayani Kigamboni (hakumtaja), kwani diwa [...]
Ali Kiba: Harmonize sio rafiki yangu, sijui dini ya Diamond
Nyota kutoka nchini Tanzania , Ali Kiba amewasili Kenya kwa ajili ya tamasha lake la ‘Only One King’ litakalofanyika Naivasha na kuzungumza na waandis [...]
Willy Paul na Diana Marua wawashiana moto Kenya
Msanii kutoka Kenya, Willy Paul ambaye miaka ya nyuma aliwahi kutamba na wimbo wake wa ‘Jigi Jigi’, ametupiana maneno kwenye mitandao ya kijamii na mr [...]